Ni kama Mzee Ali Kibao alijua yupo hatarini?

Ni kama Mzee Ali Kibao alijua yupo hatarini?

MAKANGEMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2020
Posts
2,670
Reaction score
7,655
Nipo najiuliza ilikuwaje akawa anatumia usafiri wa bus naamini huyu mzee hawezi kosa usafiri wa kusafiri kwenda hapa na pale.

Imani yangu inanituma alijua anafatiliwa akawa anajichanganya mazingira ya watu wengi kama kusafiri na bus ambapo aliona kwake itakuwa ni salama zaidi.

Lakini hawa waliomchomoa kwenye bus kama kuku nao kama wakashtuka hivi maana sio kawaida yao kunyakuwa watu kwenye mabus

Hakuna aliyesalama kama hali ndio hii.

PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

- CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
 
Basi alilotekwa Mzee Kibao limetoa taarifa rasmi kwa umma? Watu binafsi wanatoa taarifa wenyewe wamekausha tu? Hii inafikirisha sana.
 
Back
Top Bottom