EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Mbona kama tupo kwenye enzi ya Nazi Germany inaonekana kama kuna Tanzania State Police(Tastapo) wanaofanana komatendo na Gestapo wa Hitler
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eehhh sahiv hawafanyi makosa si unaona hakuna aliyepotea akarudi.Kumbuka hata Sativa walijua teyari wameshamaliza kazi na Mzoga wakauacha uliwe na Fisi na Scavengers wengine.
Sativa anabahati sana.
Leo asubuhi kuna wazo kama hili lilinipitia afu nikalipuzilia mbaliPeter Msigwa ndiye aliyemchoma Mzee Kibao. Kama Mungu aidhivyo natamka laana juu ya Peter Msigwa atakufa kifo cha mateso kuliko mateso aliyopata Mzee wetu Kibao.
Mambo kama haya ndio yaliyomuondoa Jiwe,roho za watu zilimulilia,pamoja na kujenga madaraja,maflyover, kwenye kuchezea Damu na roho za watu alioumba Mungu ndipo alipoingia mkenge.Wamejiaibisha sana kwa kumuua huyu mzee, hata kama ni kutisha watu si kwa style hii aisee
Huyu mzee hakustahili kua mbuzi wa kafala.
Unadhani wakitaka kukujua wanashindwa?
Alikuwa kama Yuda, tuwekeeni clip ya kumchoma Mzee wa watu!! Dah inauma sanaPeter Msigwa ndiye aliyemchoma Mzee Kibao. Kama Mungu aidhivyo natamka laana juu ya Peter Msigwa atakufa kifo cha mateso kuliko mateso aliyopata Mzee wetu Kibao.
Serikali ya rais Samia inakuwa mchana kweupe.Serikali inaua mchana kweupe bila aibu
Waeleze wana JF maana ya mastermind uliyomaanisha.Inaonekana mzee alikuwa mastermind sana.
Mkuu kuhusu hiyo tabia ya kuua watu aliokua nayo yule jamaa sijui Kwa Nini watu huwa hawasemi! Kwa sababu ya hiyo tabia mm binafsi hata kifo chake sikuguswa totally nisiongee uongo... Kuhusu Makonda tabia ni hiyo hiyo km ndugu yakeMambo kama haya ndio yaliyomuondoa Jiwe,roho za watu zilimulilia,pamoja na kujenga madaraja,maflyover, kwenye kuchezea Damu na roho za watu alioumba Mungu ndipo alipoingia mkenge.
Hakuna Maombi ambayo yangeweza kumsaidia
Mungu hadhihakiwi,Mungu Ni mpole na Mkali sana 🙏
Naogopa kufunguka.Hivi aliwakosea nini?
Mtu mwenyewe hata huko chamani alikuwa hajulikani, na hakuwa anajihusisha na siasa za majukwaani!
SanaInaonekana mzee alikuwa mastermind sana.
Mnaogopa kutaja jina Mohamed?Nipo najiuliza ilikuwaje akawa anatumia usafiri wa bus naamini huyu mzee hawezi kosa usafiri wa kusafiri kwenda hapa na pale.
Imani yangu inanituma alijua anafatiliwa akawa anajichanganya mazingira ya watu wengi kama kusafiri na bus ambapo aliona kwake itakuwa ni salama zaidi.
Lakini hawa waliomchomoa kwenye bus kama kuku nao kama wakashtuka hivi maana sio kawaida yao kunyakuwa watu kwenye mabus
Hakuna aliyesalama kama hali ndio hii.
PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
- CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
Hujaelewa swali langu kwa CHIEF PRIEST ?Fafanua
.Hujaelewa swali langu kwa CHIEF PRIEST ?
Kwa kweli ni hatari sana,Serikali inaua mchana kweupe bila aibu
Kondoo alikuwa anapita akamuona simba akilia akiwa amenasa kwenye boksi la chuma(grili), simba akamsihi sana kondoo amuokoe na kumuahidi kuwa hatamuua wala kumla, lakini kondoo akakataa.... Baada ya simba kubembeleza sana na kwa upumbavu wa kondoo, akafungua lile boksi la chuma.Nipo najiuliza ilikuwaje akawa anatumia usafiri wa bus naamini huyu mzee hawezi kosa usafiri wa kusafiri kwenda hapa na pale.
Imani yangu inanituma alijua anafatiliwa akawa anajichanganya mazingira ya watu wengi kama kusafiri na bus ambapo aliona kwake itakuwa ni salama zaidi.
Lakini hawa waliomchomoa kwenye bus kama kuku nao kama wakashtuka hivi maana sio kawaida yao kunyakuwa watu kwenye mabus
Hakuna aliyesalama kama hali ndio hii.
PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
- CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo