Ni kama Mzee Ali Kibao alijua yupo hatarini?

 
Naamini angekuwa anajua lazima angetoa taarifa Kwa watu wa karibu wakiwepo viongozi wenzie wa chama.

Sidhani kama angekubali kutekwa kiurahisi in public kama angefahamu anafuatiliwa, naamini alitii amri akiamini amri halali ya jeshi la polisi masikini kumbe ilikuwa ni nightmare.

Abiria lazima walipata taharuki wakijua ni jambazi labda walikuwa naye kwenye bus, watumishi waliomfahamu waliokuwa naye kwenye bus ndio walipaswa kupaza sauti kumsaidia Marehemu.
 
Wakina MMM wanapiga spana muda wote ila hawagusi imekuwaje huyu mzee wa chadema alikuwa nini haswa?
 
Peter Msigwa ndiye aliyemchoma Mzee Kibao. Kama Mungu aidhivyo natamka laana juu ya Peter Msigwa atakufa kifo cha mateso kuliko mateso aliyopata Mzee wetu Kibao.
Kumchoma mtu kwa tafsiri isiyo rasmi(mtaani)ni kumfichulia maovu mtu yaliyo sirini.
Kwamba mzee alikuwa na maovu tusiyoyajua isipokuwa msigwa na baadhi ya watu tu cdm??au ulitaka kusemaje mkuu??

Nafikiri labda ulitakiaa useme amekenda kufanya fitina mzee aonekane ni kichomi.ingawa sifikirii pia.
 
Wanafanya hayo Ili kuingiza HOFU Kwa raia.

Hatuogopi na hatutaogopa kutetea HAKI isimame juu ya nchi yetu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…