Ni Kama Naiona Barca Ishatinga Fainali Uefa

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Ni Jumanne Ya Tarehe 30 Mwezi huu ambapo Fc Barcelona atamkaribisha Liverpool Nou Camp, na siku hiyo pia Spurs atamkaribisha nyumbani Ajax FC kwa mzunguko wa kwanza kabla ya marudiano tarehe 7 May.
Kwa kutolewa Man city Leo kumepunguza hofu kiasi ya Pep Guardiola ambaye anaifahamu vizuri barca,tishio la pili ambalo nalo la kutokupuuzia ni vijana wa Ajax fc hawa ingawa kwa barca hawana jeuri ya kuwazuia endapo watakutana fainali lakini hofu pekee ni je ukuta wa barca utahimili safari za hawa madogo? Maana ktk kila dakika 5 lazima wawapumulie ndani ya box.... Akina shakila atawahimili? Tukumbuke juve wana ukuta imara lakini mwisho wa siku wakaachia.
Pamoja na maangalizo yote hayo bado nampa barca nafasi kucheza fainali na hatimaye kuchukua ndoo kwa yeyote atakaekutana nae
Viva Barcelona!!
 
Visca Barça.
 
Juve ukitaka kuamini wana beki visiki ni ile mechi ya serie A walicheza na Napoli mechi ikaisha Juve kushinda 2-1 .
Aisee kuna muda Juve walirudi nyuma maana mashambulizi yalikua hatari kutoka kwa forwad za Napoli ila walizuia vibaya mno.

Sasa hii inajenga picha kua Ajax wanapenetrate sehemu ngumu hivyo team itakayocheza nayo inabidi ijilinde kwelikweli.
 
Tena fainal anakutana na team dhaifu sana
 
Ubeki wao Bora unadhihirishwa na Napoli?
 
hata hivyo mechi ya ajax hakwepo kamand chielin na alianz rugani ambae sio first eleven
 
Niko satisfied na form ya liverpool ya sasa kiasi cha kwamba hii barca niliyoiona haiwezi kumtoa liver. Kiuhalisia sina fact nyingi za kuelezea kuwa liverpool atamtoa barca.
Sawa mkuu ila kumbuka Barcelona ni kama kinyonga,hua inabadilika kutokana na mazingira,Barca vs Liver,tegemea kuona performance tofauti kabisa toka kwa Barca,natabiri hii game ndio itakayotoa bingwa wa ongoing UCL
 
Mleta uzi unajadili fainal kana kwamba barca ameshamtoa liver,Mpira haupo jinsi unavyofikiria kichwani kwako nakuhakikishia liverpool atamtoa Barcelona haijalishi kwa namna gani kwanza lazima liver apate zaidi ya goli 2 ugenini hata kamaa atafungwa na barca atakuja kutokea Anfield liverpool sio kama Man u mkuu
 
Kuna kila dalili fainali ni liveroool na Totenham
Totenham hawezi kimfunga Ajax.
Liverpool anaenda kufinya na kuzima movement zote za Barca katikati ya uwanja.

Messi acheze false no.9 atakutana na Fabinho mkata umeme, akivuka hapo anakutana na ukuta wa Berlin yaani VVD & Matip au VVD & Gomez.

Akienda pembeni upande wowote anakutana na wale watoto hatari Robertson na T.Anaold.

Liverpool anaenda kukata mipira yote inayoenda kwa Messi.

Naomba oia unikumbushe lini ulimuona VVD anapigwa chenga kama Boateng au tobo kama Freddy?

#COYR #YNWA

Tukutane 30 April & 7 May 2019.

For english audience:

Come April 30th & May 7th, 2019
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…