ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Ni Jumanne Ya Tarehe 30 Mwezi huu ambapo Fc Barcelona atamkaribisha Liverpool Nou Camp, na siku hiyo pia Spurs atamkaribisha nyumbani Ajax FC kwa mzunguko wa kwanza kabla ya marudiano tarehe 7 May.
Kwa kutolewa Man city Leo kumepunguza hofu kiasi ya Pep Guardiola ambaye anaifahamu vizuri barca,tishio la pili ambalo nalo la kutokupuuzia ni vijana wa Ajax fc hawa ingawa kwa barca hawana jeuri ya kuwazuia endapo watakutana fainali lakini hofu pekee ni je ukuta wa barca utahimili safari za hawa madogo? Maana ktk kila dakika 5 lazima wawapumulie ndani ya box.... Akina shakila atawahimili? Tukumbuke juve wana ukuta imara lakini mwisho wa siku wakaachia.
Pamoja na maangalizo yote hayo bado nampa barca nafasi kucheza fainali na hatimaye kuchukua ndoo kwa yeyote atakaekutana nae
Viva Barcelona!!