Panya Mabaka
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 619
- 557
Wacha wavimbe wapasūke na waisome namba Barca ndo bingwa wa UCL msimu huu
King Messi anachukua Bållon d' or yäke ya 6 + Golden boot ya 6 pià
Huu ndo uķwēli mchungu kwa haters
Iliishia 1-0First half iliisha ngapi ngapi?
Iliishia 1-0
Totenham Hotspurs hatoboi kwa Ajax a.k.a 'The Giant Slayers' a.k.a 'The Vikings'.Liverpool atachezea goli za kutosha kiasi kwamba watapoteana uwanjani!
Fainali ni Barcelona v/s Totenham Hotspurs
Kwa hiyo unabisha au???Messi kakulevya ET. Kina pique watavurugwa hutaaminUnataka kusema forward ya Liver ni bora kuliko ya barca mkuu?
TOT sio tanzania one theater mkuu!!!Totenham Hotspurs hatoboi kwa Ajax a.k.a 'The Giant Slayers' a.k.a 'The Vikings'.
Wale watoto wanacheza mpira wa kwa kasi , kwa kujituma, na mbinu(tacts) za hali ya juu.
Yeyote kati ya Liverpool na Barca atakaye kutana nae ajiandae hasa, to beat Ajax Armstadam it's not an easy feat.
Ask Barca Real Madrid, Juventus and Bayern.Munchen. Hawa wote walikutana nae msimu huu 2018/2019 kwenye hii UCL.
Humu ndani watu wanaongea kishabiki, walitabiri Juve kubeba hii ndoo ila leo wapo kimya.Sawa mkuu ila kumbuka Barcelona ni kama kinyonga,hua inabadilika kutokana na mazingira,Barca vs Liver,tegemea kuona performance tofauti kabisa toka kwa Barca,natabiri hii game ndio itakayotoa bingwa wa ongoing UCL
Game kama hizi ndipo dunia inaamini Messi ana kitu cha ziada, Liverpool haitaamini matokeo itakayoyapata Camp Nou.Totenham hawezi kimfunga Ajax.
Liverpool anaenda kufinya na kuzima movement zote za Barca katikati ya uwanja.
Messi acheze false no.9 atakutana na Fabinho mkata umeme, akivuka hapo anakutana na ukuta wa Berlin yaani VVD & Matip au VVD & Gomez.
Akienda pembeni upande wowote anakutana na wale watoto hatari Robertson na T.Anaold.
Liverpool anaenda kukata mipira yote inayoenda kwa Messi.
Naomba oia unikumbushe lini ulimuona VVD anapigwa chenga kama Boateng au tobo kama Freddy?
#COYR #YNWA
Tukutane 30 April & 7 May 2019.
For english audience:
Come April 30th & May 7th, 2019
Unaamini kabisa Liver kwa mpira wao wa kumuacha mpinzani acheze mpira wataachwa na Messi?Liverpool siku zote ndio wapo hivyo na kushinda wanashinda rejea vs munchen liver walielemewa wakashinda tatu pia mechi na Porto kaelemewa kashinda nne
Unaamini kabisa Liver kwa mpira wao wa kumuacha mpinzani acheze mpira wataachwa na Messi?Liverpool siku zote ndio wapo hivyo na kushinda wanashinda rejea vs munchen liver walielemewa wakashinda tatu pia mechi na Porto kaelemewa kashinda nne
Binafsi naiona liverpool ikitinga fainal japo siipendi
facts
1)barca hawana kikosi imara tangu walipostaafu xavi+iniesta
2)liver wako vizuri kuliko wakati wowote tangu imeanza kufundishwa na klop.
Final ni Liverpool vs TotinhamNi Jumanne Ya Tarehe 30 Mwezi huu ambapo Fc Barcelona atamkaribisha Liverpool Nou Camp, na siku hiyo pia Spurs atamkaribisha nyumbani Ajax FC kwa mzunguko wa kwanza kabla ya marudiano tarehe 7 May.
Kwa kutolewa Man city Leo kumepunguza hofu kiasi ya Pep Guardiola ambaye anaifahamu vizuri barca,tishio la pili ambalo nalo la kutokupuuzia ni vijana wa Ajax fc hawa ingawa kwa barca hawana jeuri ya kuwazuia endapo watakutana fainali lakini hofu pekee ni je ukuta wa barca utahimili safari za hawa madogo? Maana ktk kila dakika 5 lazima wawapumulie ndani ya box.... Akina shakila atawahimili? Tukumbuke juve wana ukuta imara lakini mwisho wa siku wakaachia.
Pamoja na maangalizo yote hayo bado nampa barca nafasi kucheza fainali na hatimaye kuchukua ndoo kwa yeyote atakaekutana nae
Viva Barcelona!!