Ni Kama Naiona Barca Ishatinga Fainali Uefa

Ni Kama Naiona Barca Ishatinga Fainali Uefa

Liverpool atachezea goli za kutosha kiasi kwamba watapoteana uwanjani!

Fainali ni Barcelona v/s Totenham Hotspurs
Totenham Hotspurs hatoboi kwa Ajax a.k.a 'The Giant Slayers' a.k.a 'The Vikings'.

Wale watoto wanacheza mpira wa kwa kasi , kwa kujituma, na mbinu(tacts) za hali ya juu.

Yeyote kati ya Liverpool na Barca atakaye kutana nae ajiandae hasa, to beat Ajax Armstadam it's not an easy feat.

Ask Barca Real Madrid, Juventus and Bayern.Munchen. Hawa wote walikutana nae msimu huu 2018/2019 kwenye hii UCL.
 
Fainali , ajax vs Barcelona
,ajax anabeba ndoo coz wana spirit sana hawa vijana
 
Totenham Hotspurs hatoboi kwa Ajax a.k.a 'The Giant Slayers' a.k.a 'The Vikings'.

Wale watoto wanacheza mpira wa kwa kasi , kwa kujituma, na mbinu(tacts) za hali ya juu.

Yeyote kati ya Liverpool na Barca atakaye kutana nae ajiandae hasa, to beat Ajax Armstadam it's not an easy feat.

Ask Barca Real Madrid, Juventus and Bayern.Munchen. Hawa wote walikutana nae msimu huu 2018/2019 kwenye hii UCL.
TOT sio tanzania one theater mkuu!!!
 
Ajax hawezi kumtikisa Barca.

Ajax ana mpira wa kasi mno na anaingia ndani ya box kufanya mashambulizi, wanajitahidi mno kupenya kila eneo ili wapate goli.

Juventus ana mpira kama chelsea, ni timu ambayo inasubiria uishambulie kisha yenyewe ifanye shambulio la kushtukiza. Ajax sio wazuri endapo ukawaruhusu wakushambulie.

Ajax haina mfungaji, hamjui tu. Ile timu ingekuwa na striker mmoja anayejielewa ingewa inapata ushindi mno. Mnazungumzia Barca kuwakabili Ajax ila hamfkirii Ajax wanaweza kumzuia vipi Messi.
 
Sawa mkuu ila kumbuka Barcelona ni kama kinyonga,hua inabadilika kutokana na mazingira,Barca vs Liver,tegemea kuona performance tofauti kabisa toka kwa Barca,natabiri hii game ndio itakayotoa bingwa wa ongoing UCL
Humu ndani watu wanaongea kishabiki, walitabiri Juve kubeba hii ndoo ila leo wapo kimya.

Barca sio mtu wa kumchukulia mwepesi tena kwa timu za epl, Nou Camp Liver atakufa si chini ya 3.

Liverpool hii ni timu ndogo mno kwa Barca.
 
Totenham hawezi kimfunga Ajax.
Liverpool anaenda kufinya na kuzima movement zote za Barca katikati ya uwanja.

Messi acheze false no.9 atakutana na Fabinho mkata umeme, akivuka hapo anakutana na ukuta wa Berlin yaani VVD & Matip au VVD & Gomez.

Akienda pembeni upande wowote anakutana na wale watoto hatari Robertson na T.Anaold.

Liverpool anaenda kukata mipira yote inayoenda kwa Messi.

Naomba oia unikumbushe lini ulimuona VVD anapigwa chenga kama Boateng au tobo kama Freddy?

#COYR #YNWA

Tukutane 30 April & 7 May 2019.

For english audience:

Come April 30th & May 7th, 2019
Game kama hizi ndipo dunia inaamini Messi ana kitu cha ziada, Liverpool haitaamini matokeo itakayoyapata Camp Nou.
 
Liverpool siku zote ndio wapo hivyo na kushinda wanashinda rejea vs munchen liver walielemewa wakashinda tatu pia mechi na Porto kaelemewa kashinda nne
Unaamini kabisa Liver kwa mpira wao wa kumuacha mpinzani acheze mpira wataachwa na Messi?
 
Utabiri wangu Anfield liverpool 2 Barceloma 1, Nou camp Barcelona 3 Liverpool 2....

Barcelona out Liverpool In

Amsterdam Ajax 1 Tottenhan 1
White hat lane Tottenham 2 Ajax 1

Fainal Liverpool vs Tottenhamm


Nitarud tena kukamilisha ramli yangu siku ya fainali....
 
Hua nawaza sana akina nani wa kutoa mpira pale kati na kuwapa washambuliaji wa Liverpool ? Kama kupiga mipira mirefu ni yale ya kutoka golini kwa Liverpool ? Liverpool inaweza kufungwa kwa urahisi na Barca zaidi ya Barca kufungwa na Liverpool.
Sioni Barca kutotumia yale makosa ya wazi yanayofanywa na mabeki ya Liverpool.
 
IYKWIM
IMG-20190418-WA0029.jpeg
 
Jina lako ni nani vile.... Nyakubanga. Ok wacha nilisevu hapa
Binafsi naiona liverpool ikitinga fainal japo siipendi

facts

1)barca hawana kikosi imara tangu walipostaafu xavi+iniesta

2)liver wako vizuri kuliko wakati wowote tangu imeanza kufundishwa na klop.
 
Ni Jumanne Ya Tarehe 30 Mwezi huu ambapo Fc Barcelona atamkaribisha Liverpool Nou Camp, na siku hiyo pia Spurs atamkaribisha nyumbani Ajax FC kwa mzunguko wa kwanza kabla ya marudiano tarehe 7 May.
Kwa kutolewa Man city Leo kumepunguza hofu kiasi ya Pep Guardiola ambaye anaifahamu vizuri barca,tishio la pili ambalo nalo la kutokupuuzia ni vijana wa Ajax fc hawa ingawa kwa barca hawana jeuri ya kuwazuia endapo watakutana fainali lakini hofu pekee ni je ukuta wa barca utahimili safari za hawa madogo? Maana ktk kila dakika 5 lazima wawapumulie ndani ya box.... Akina shakila atawahimili? Tukumbuke juve wana ukuta imara lakini mwisho wa siku wakaachia.
Pamoja na maangalizo yote hayo bado nampa barca nafasi kucheza fainali na hatimaye kuchukua ndoo kwa yeyote atakaekutana nae
Viva Barcelona!!
Final ni Liverpool vs Totinham



Barcelona anaizuiaje Liverpool.


Time is a good teacher
 
Back
Top Bottom