ProMagufuli
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 253
- 270
Auto Pilot, kwa uelewa wangu tafsiri isiyo rasmi, nchi inajiendesha.
Kwa sababu gani nasema hivyo. Ni kama ifuatavyo.
1. Kuhusu tozo. Mheshimiwa waziri wa fedha na Mipango ndugu Mwigulu Nchemba alisema mama amesikia kilio cha Watanzania ila cha ajabu mpaka leo hakuna kinachoendelea kuhusu mchakato wa kusikiliza hicho kilio. NI HUZUNI 😒
2. Kuhusu kamata kamata, pia hii sielewi inaendeshwa je na mratibu wa hii kitu ni nani.! Maaskari wameachiwa wafanye vile wanaona vyema. HII NI MBAYA.
3. Japo si kwa umuhimu Raisi hajatoka hadharani kusema na wananchi kujua nini kinaendelea hapa Tanzania.
Pia kuna Mambo kibao yanaendelea hayaeleweki. Ni kama vile tuko Laissez-faire leadership.
Nimeona sehemu, itakuwa ipo chini ya system sasa.
TUNATAKA KUMSIKIA.
Nimemaliza. Pro Magufuli.