Ni kama nchi iko kwenye Auto Pilot

Ni kama nchi iko kwenye Auto Pilot

Hapana mkuu.Mama ni kiongozi mzuri na msikivu sana ila anakwamishwa na watu wa MATAGA na sukuma gang.Wanamshauri kuwa awabambike watu makosa ya jinai.Mama atawang'amua na kuwamwaga.
Inawezekana
 
Inji inawongoswa na muke mwensa msee wangu fumilia
 
sasa kila Mtanzania achangie Maendeleo sio wakati wa Mwendazake alikuwa akichungulia a/c za watu Benki.
sasa mpaka Chinga wanalipa
 
Mama kasikia kilio cha Watanzania waliokuwa wanataka tozo ziwe kotekote mpaka kwenye simbanking
 
Auto Pilot, kwa uelewa wangu tafsiri isiyo rasmi, nchi inajiendesha.

Kwa sababu gani nasema hivyo. Ni kama ifuatavyo.

1. Kuhusu tozo. Mheshimiwa waziri wa fedha na Mipango ndugu Mwigulu Nchemba alisema mama amesikia kilio cha Watanzania ila cha ajabu mpaka leo hakuna kinachoendelea kuhusu mchakato wa kusikiliza hicho kilio. NI HUZUNI 😒

2. Kuhusu kamata kamata, pia hii sielewi inaendeshwa je na mratibu wa hii kitu ni nani.! Maaskari wameachiwa wafanye vile wanaona vyema. HII NI MBAYA.

3. Japo si kwa umuhimu Raisi hajatoka hadharani kusema na wananchi kujua nini kinaendelea hapa Tanzania.

Pia kuna Mambo kibao yanaendelea hayaeleweki. Ni kama vile tuko Laissez-faire leadership.
Nimeona sehemu, itakuwa ipo chini ya system sasa.

TUNATAKA KUMSIKIA.

Nimemaliza. Pro Magufuli.
Hii nchi hapa ilipofikia ni mahali pabaya sana hata zaidi ya utawala wa DIKTETA Magufuli
 
Mama anaupiga mwingi sana...nchi imemshinda mapemaaaaa
 
Hujakosea kabisa Mkuu. Mimi nashangazwa sana na huu ukimya wa samia pia kutomuondoa mwigulu kama Waziri pamoja na kuvurunda vibaya sana kwenye bajeti. Tetesi zinadai Axis of evil (Ndugai, Majaliwa, Mpango, Gwajima, Ndugulile na Mwigulu mwenyewe) hawaoni sababu ya Mwigulu kuondolewa. Na samia msimkivu hajatoa kauli kuhusu nini kinachoendelea kuhusu kupitia kodi za miamala.
Auto Pilot, kwa uelewa wangu tafsiri isiyo rasmi, nchi inajiendesha.

Kwa sababu gani nasema hivyo. Ni kama ifuatavyo.

1. Kuhusu tozo. Mheshimiwa waziri wa fedha na Mipango ndugu Mwigulu Nchemba alisema mama amesikia kilio cha Watanzania ila cha ajabu mpaka leo hakuna kinachoendelea kuhusu mchakato wa kusikiliza hicho kilio. NI HUZUNI 😒

2. Kuhusu kamata kamata, pia hii sielewi inaendeshwa je na mratibu wa hii kitu ni nani.! Maaskari wameachiwa wafanye vile wanaona vyema. HII NI MBAYA.

3. Japo si kwa umuhimu Raisi hajatoka hadharani kusema na wananchi kujua nini kinaendelea hapa Tanzania.

Pia kuna Mambo kibao yanaendelea hayaeleweki. Ni kama vile tuko Laissez-faire leadership.
Nimeona sehemu, itakuwa ipo chini ya system sasa.

TUNATAKA KUMSIKIA.

Nimemaliza. Pro Magufuli.
 
Auto Pilot, kwa uelewa wangu tafsiri isiyo rasmi, nchi inajiendesha.

Kwa sababu gani nasema hivyo. Ni kama ifuatavyo.

1. Kuhusu tozo. Mheshimiwa waziri wa fedha na Mipango ndugu Mwigulu Nchemba alisema mama amesikia kilio cha Watanzania ila cha ajabu mpaka leo hakuna kinachoendelea kuhusu mchakato wa kusikiliza hicho kilio. NI HUZUNI [emoji19]

2. Kuhusu kamata kamata, pia hii sielewi inaendeshwa je na mratibu wa hii kitu ni nani.! Maaskari wameachiwa wafanye vile wanaona vyema. HII NI MBAYA.

3. Japo si kwa umuhimu Raisi hajatoka hadharani kusema na wananchi kujua nini kinaendelea hapa Tanzania.

Pia kuna Mambo kibao yanaendelea hayaeleweki. Ni kama vile tuko Laissez-faire leadership.
Nimeona sehemu, itakuwa ipo chini ya system sasa.

TUNATAKA KUMSIKIA.

Nimemaliza. Pro Magufuli.
Acheni Mama arekebishe mapungufu ya awamu ya 5 na anafanya kazi viruri sana regional na International diplomacy zinaonekana results zake sasa uchumi uriharibiwa sana awamu ya 5 ndio ikapelekea kuongeza kodi na tozo Mama aunaupiga mwingi sana tumpe muda na nafsi nchi itakuwa vizuri sana
 
Umezoea MBWA - Management By Walking Around....hiyo haipo tena🐒
 
Auto pilot ndo kiwango cha juu cha kujiongoza...

Sisi tumezoa matamko ya kila wiki ndo tunafikiri ndo Uongozi..

Swissland waliwahi kukaa miaka mitatu bila Rais na Baraza la mawaziri ....

Zipo nchi wanakaa hata miezi sita hakuna hotuba wala event ya kisiasa.,.

Mliozea makeke ya Magufuli mnafikiri nndo normal..
Uko sahihi sana.

Belgium pia ilijuendesha bila Serikali kwa miaka 5-Ni juzi tu mwezi May wamepata Serikali.

Ukiwa na stable system Nchi inakwenda tu vizuri...
 
Auto pilot ndo kiwango cha juu cha kujiongoza...

Sisi tumezoa matamko ya kila wiki ndo tunafikiri ndo Uongozi..

Swissland waliwahi kukaa miaka mitatu bila Rais na Baraza la mawaziri ....

Zipo nchi wanakaa hata miezi sita hakuna hotuba wala event ya kisiasa.,.

Mliozea makeke ya Magufuli mnafikiri nndo normal..
you are day dreaming thinking tz is anywhere near swiss,i live in a developed country and our countrys president can stay for upto to 4 months without a speech, but what you should know LAW AND ORDER are what makes this country or these countries move on without the head of state saying anything, if i may kidly ask you which law did chadema break to the extent of charging mbowe with terrorism and putting kina pambalu and heche lock up???????? pls pls know and understand tz is a totaly failed state
 
Nadhani Mama Samia ana wakati mgumu sana asipokuwa mkali ndio basi tena
 
Acheni Mama arekebishe mapungufu ya awamu ya 5 na anafanya kazi viruri sana regional na International diplomacy zinaonekana results zake sasa uchumi uriharibiwa sana awamu ya 5 ndio ikapelekea kuongeza kodi na tozo Mama aunaupiga mwingi sana tumpe muda na nafsi nchi itakuwa vizuri sana
Nikupe pole.
Utanikumbuka.
 
Kama taifa itoshe kusema, tuna rais wa hovyo kupata kutokea.
Yaani mpaka unakosa nguvu za kumtetea.
 
Back
Top Bottom