stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Mboye kauai iini viongozi
tulia akishabanwa na plaizi mbili tutajua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mboye kauai iini viongozi
Wacha avune alichopanda..!Dah ni ajabu sana
Eti eehSasa ndio tunarahisi anayesikiliza washauri wake sasa
Nani huyo?Wacha avune alichopanda..!
Ajiangalie sanaBado anashangaa chokochoko zimekuwa mara mia zaidi ya alivyotegemea.
Na wahisani nao wameanza chokochoko.
Haya ndiyo mavuno ya kupindua matokeo ya uchaguzi mkuu. Wanahangaika kutawala watu ambao hawakuwachagua, ndiyo maana Mbowe hatumii nguvu kubwa kufanya siasa kwani anasupport kubwa. Nachelea kusema level ya Mbowe katika kuendesha siasa ni ya juu kuliko mwanasaiasa yoyote nchini katika kizazi hiki. Hivyo njia pekee ni kumfunga hata kwa makosa haramu ili wapumueAuto Pilot, kwa uelewa wangu tafsiri isiyo rasmi, nchi inajiendesha.
Kwa sababu gani nasema hivyo. Ni kama ifuatavyo.
1. Kuhusu tozo. Mheshimiwa waziri wa fedha na Mipango ndugu Mwigulu Nchemba alisema mama amesikia kilio cha Watanzania ila cha ajabu mpaka leo hakuna kinachoendelea kuhusu mchakato wa kusikiliza hicho kilio. NI HUZUNI 😒
2. Kuhusu kamata kamata, pia hii sielewi inaendeshwa je na mratibu wa hii kitu ni nani.! Maaskari wameachiwa wafanye vile wanaona vyema. HII NI MBAYA.
3. Japo si kwa umuhimu Raisi hajatoka hadharani kusema na wananchi kujua nini kinaendelea hapa Tanzania.
Pia kuna Mambo kibao yanaendelea hayaeleweki. Ni kama vile tuko Laissez-faire leadership.
Nimeona sehemu, itakuwa ipo chini ya system sasa.
TUNATAKA KUMSIKIA.
Nimemaliza. Pro Magufuli.
😱😱😱😱Haya ndiyo mavuno ya kupindua matokeo ya uchaguzi mkuu. Wanahangaika kutawala watu ambao hawakuwachagua, ndiyo maana Mbowe hatumii nguvu kubwa kufanya siasa kwani anasupport kubwa. Nachelea kusema level ya Mbowe katika kuendesha siasa ni ya juu kuliko mwanasaiasa yoyote nchini katika kizazi hiki. Hivyo njia pekee ni kumfunga hata kwa makosa haramu ili wapumue
Yeah, ndio tuhuma ako nazo.
Hachomoki hapo.Atakaa jela miaka 27 kama baba yetu Nelson MandelaYeah, ndio tuhuma ako nazo.
😁😁😁Hachomoki hapo.Atakaa jela miaka 27 kama baba yetu Nelson Mandela
Terehe June 12, 1964 Nelson Mandela na yeye alihukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa la uhaini. Je kati ya uhaini na ugaidi kosa lipi ni kubwa?😁😁😁
Huyu atamalizikia huko 😑😑😑👋
Nadhani ni uhaini.!Terehe June 12, 1964 Nelson Mandela na yeye alihukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa la uhaini. Je kati ya uhaini na ugaidi kosa lipi ni kubwa?
Ingependeza na sie tungeeanza kuwabambika makosa ya uhaini hawa UKAWA. Ugaidi na uhujumu uchumi haitoshi kuwamaliza hawa.Nadhani ni uhaini.!
Sio kuwabambika ni haki yao. Kama wanavyombambika raisi udikteta.Ingependeza na sie tungeeanza kuwabambika makosa ya uhaini hawa UKAWA.Ugaidi na uhujumu uchumi haitoshi kuwamaliza hawa.
MH! Udikteta upi?Sio kuwabambika ni haki yao. Kama wanavyombambika raisi udikteta.
Kwani hujasikia wakimwita mama Dikteta.MH! Udikteta upi?
Nadhani udiketa uliota mizizi katika enzi za Jiwe.Tusimkwamishe mama
Hapana mkuu.Mama ni kiongozi mzuri na msikivu sana ila anakwamishwa na watu wa MATAGA na sukuma gang.Wanamshauri kuwa awabambike watu makosa ya jinai.Mama atawang'amua na kuwamwaga.Kwani hujasikia wakimwita mama Dikteta.