Ni kama nchi iko kwenye Auto Pilot

Haya ndiyo mavuno ya kupindua matokeo ya uchaguzi mkuu. Wanahangaika kutawala watu ambao hawakuwachagua, ndiyo maana Mbowe hatumii nguvu kubwa kufanya siasa kwani anasupport kubwa. Nachelea kusema level ya Mbowe katika kuendesha siasa ni ya juu kuliko mwanasaiasa yoyote nchini katika kizazi hiki. Hivyo njia pekee ni kumfunga hata kwa makosa haramu ili wapumue
 
😱😱😱😱
 
😁😁😁

Huyu atamalizikia huko πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ‘‹
Terehe June 12, 1964 Nelson Mandela na yeye alihukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa la uhaini. Je kati ya uhaini na ugaidi kosa lipi ni kubwa?
 
Ingependeza na sie tungeeanza kuwabambika makosa ya uhaini hawa UKAWA.Ugaidi na uhujumu uchumi haitoshi kuwamaliza hawa.
Sio kuwabambika ni haki yao. Kama wanavyombambika raisi udikteta.
 
Kwani hujasikia wakimwita mama Dikteta.
Hapana mkuu.Mama ni kiongozi mzuri na msikivu sana ila anakwamishwa na watu wa MATAGA na sukuma gang.Wanamshauri kuwa awabambike watu makosa ya jinai.Mama atawang'amua na kuwamwaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…