4real.Vitabu vitakatitifu na babu zetu hawakuwa wajinga kutuasa tuoe (hasa 0bikra) na tuikwepe zinaa.
Haya magonjwa yamewekwa pabaya sana, shuguhuli ya dakika kadhaa inakupa majuto mpaka kifo
Umenikumbusha mbaalllllliiiiii[emoji444][emoji444][emoji445]Usione soo Sema naye, Kuhusu Kusubiri ,Kuwa mwaminifu au Tumia kondom..[emoji445][emoji445]
Ishi campaign..
View attachment 2927239
Kitambo hiyo aisee
Cha kushangaza uyo bro alikufa kwa ukimwi.......🎵🎵🎶Usione soo Sema naye, Kuhusu Kusubiri ,Kuwa mwaminifu au Tumia kondom..🎶🎶
Ishi campaign..
View attachment 2927239
😀😀Cha kushangaza uyo bro alikufa kwa ukimwi.......
kunae hio homa ya ini ukimwi ukasome
Haya yalikiwa kweny kila kona na daladala miaka ya 2000s🎵🎵🎶Usione soo Sema naye, Kuhusu Kusubiri ,Kuwa mwaminifu au Tumia kondom..🎶🎶
Ishi campaign..
View attachment 2927239
Ni Kweli kabisaYani vijana sasa hivi ni kavu kavu huku wakiwa na fikra ya kuchukulia aids kwa uwepesi sana.
"aaah huyu haonekani kama ana ukimwi".
"aaah siku hizi sio kama zamani ukimwi haupo kirahisi rahisi".
Kama tunavyo amini siku hizi tunaweza kupatiana UTI kirahisi basi hivyo hivyo HIV/AIDS inakukamata kirahisi tu.
USE CONDOMS.
Yeah kweli kabisa enzi hizoHaya yalikiwa kweny kila kona na daladala miaka ya 2000s
Wewe jamaa muongoCha kushangaza uyo bro alikufa kwa ukimwi.......