Ni kama tumekuwa fooled kusahau kuwa UKIMWI bado upo

Ni kama tumekuwa fooled kusahau kuwa UKIMWI bado upo

2004 nakumbuka Kipindi hicho naangaia UEFA mwaka huo alichukua fc porto itv walikua wanaonyesha half time walikuwa wanaweka hilo Tangazo ni wimbo wakiwepo wakina stara thomas, banana zoro, solo thang na mr paul

Miaka hiyo watu walizitafuna sana hela za ukimwi
Hqhqh

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
kaka kuna mahali umepotosha, si wote wenye visukari na age wanakunywa dawa kila siku. Kisukari si dawa kila siku, age si dawa kila siku. Ni wanatumia muda fulan basda ya hapo wanaacha na kuendelea na maisha.
Lakin hiyo sio justification against aids

unajua dini zina pumbaza, unlike ukimwi kisukar unaweza kuku reverse ukapona kabisa japo inahitaji jitihada. Ila ukimwi ni CHapa ya milele. Hao wanao puuza ndio wasambazaji

si kweli watu wenye visukari wanakunywa dawa kila siku, i have close people naishi nao even wengine kuwapeleka hospital. Wengi sikuizi wana fuata special diet si dawa. Na pia inategemea umefika level gani. kuna level kisukar unaweza kuki reverse ukarudi normal
Na pia si wenye old age wanakunywa dawa kila siku, asilimia ndogo sana the rest but all in all magonjwa kama hiyo sio fun kabisa, yasikukute
Kuna ambao miili yao imeshindwa kucontrol sukari kwa asilimia 100 hao wanatumia dawa karibia kila siku sidhani na hili linahitaji ubishi

Hao ambao wanatumia diet wapo kwenye stage za mwanzoni na sukari huwezi reverse asilimia kubwa wanaosema una reverse wanaacha kufuata masharti na kwenda clinic wanakuja stukia wana kidney failure
 
Dokta ushauri wako tafadhali

Nina shida ya insomnia kwa miaka mingi ila kwa sasa naona imezidi. Hua natumia vidonge Amitriptyline kupata usingizi nikikosa. Tatizo langu la insomnia kuna wakati linaniandama kuna wakati linatulia.

Sasa hivi nimekua nikiamka nakua na kizunguzungu kikali baadhi ya siku ambazo sijalala vema. Je, nifanyeje? Hii hali inanitesa.
 
Kuna ambao miili yao imeshindwa kucontrol sukari kwa asilimia 100 hao wanatumia dawa karibia kila siku sidhani na hili linahitaji ubishi

Hao ambao wanatumia diet wapo kwenye stage za mwanzoni na sukari huwezi reverse asilimia kubwa wanaosema una reverse wanaacha kufuata masharti na kwenda clinic wanakuja stukia wana kidney failure
It possible ila kwenye pre na type 2. Lakini unahitaji heavy dedication, si jambo rahisi. Hao wenye 100 idadi yao ni wachache, mostly old age, the rest bado wako kwenye grace zone. Sio nabisha, nimekuwa kwenye field inayonifanya nikutane nao sana na kujua kiundani
 
Watu wengi figo zinafeli kwa kudanganywa unaweza ponya sukari
Hawaendi clinics na hawatumii dawa baada ya mda figo zinafeli ndo maana kuna watu wengi na idadi inaongezeka kwa sababu wanaamini unaweza tibu kisukari
 
Figo kufeli hiyo ni advanced level, which is type 1. Hiyo hakuna return. Hizo level zingine its possible kwa kukata sukari kabisa out of your life. Shida ni watu hawazingatii
 
Watu wengi umri ulioenda wanakunywa dawa kila siku
Watu wenye pressure wanakunywa dawa kila siku
Watu wenye colestrol wanakunywa dawa za colestrol kila siku
Watu wa kisukari wanakunywa dawa kila siku
Yaani ni dawa mpaka tukome na tusikie au sio Masikio??
 
Hamna ukimwi mkuu , hayo ni magonjwa ya kizamani , meat by meat
 
Back
Top Bottom