Ni kama tumekuwa fooled kusahau kuwa UKIMWI bado upo

Ni kama tumekuwa fooled kusahau kuwa UKIMWI bado upo

Yani vijana sasa hivi ni kavu kavu huku wakiwa na fikra ya kuchukulia aids kwa uwepesi sana.

"aaah huyu haonekani kama ana ukimwi".

"aaah siku hizi sio kama zamani ukimwi haupo kirahisi rahisi".

Kama tunavyo amini siku hizi tunaweza kupatiana UTI kirahisi basi hivyo hivyo HIV/AIDS inakukamata kirahisi tu.

USE CONDOMS.
I can't use it
 
kuna kijana nilimsikia akiwachota wenzake eti ujue ukimwi sikuizi hauna nguvu unaweza kuishi nao bila hata kumeza dawa

nilimcheki!! nikamwambia usiombe kukutana na hiyo ndoige
 
2004 nakumbuka Kipindi hicho naangaia UEFA mwaka huo alichukua fc porto itv walikua wanaonyesha half time walikuwa wanaweka hilo Tangazo ni wimbo wakiwepo wakina stara thomas, banana zoro, solo thang na mr paul

Miaka hiyo watu walizitafuna sana hela za ukimwi
Mkuu unaweza ukawa sawa ila usiwe sahihi..
Ishi campaign ilizinduliwa Mwezi wa 11 mwaka 2001 na Waziri Mkuu wa Enzi hizo Fredrick Sumaye..
Na waliamza kuzindua Dar, Dodoma wakazindua December 2001..
Wakamalizia Iringa maana ndo kulikuwa na maambukizi makubwa January 2002..

Ila hayo mabango yote yalianza kuwekwa mwaka 2002 kama sijasahau mwezi June 2002, Mwisho wa mwkaa wa serkali 2001/2002..

Redioni ilianza mwaka 2002 na Nyimbo zilitungwa mwaka wa fedha 2002/2003..
Ile nyimbo ya usione soo ilitungwa 2003 mwezi wa nne
 
Mkuu unaweza ukawa sawa ila usiwe sahihi..
Ishi campaign ilizinduliwa na Mwezi wa 11 mwaka 2001 na Waziri Mkuu wa Enzi hizo Fredrick Sumaye..
Na waliamza kuzindua Dar, Dodoma wakazindua December 2001..
Wakamalizia Iringa maana ndo kulikuwa na maambukizi makubwa January 2002..

Ila hayo mabango yote yalianza kuwekwa mwaka 2002 kama sijasahau mwezi June 2002, Mwisho wa mwkaa wa serkali 2001/2002..

Redioni ilianza mwaka 2002 na Nyimbo zilitungwa mwaka wa fedha 2002/2003..
Ile nyimbo ya usione soo ilitungwa 2003 mwezi wa nne
Wanasema siku hizi hawaogopi Ukimwi wanaogopa Kisukari, wengi watakwambia Ukimwi haupo ndio maana wanatoa ushuhuda feki kwa mitume na manabii feki/wa mchongo eti wamepona HIV
 
Wanasema siku hizi hawaogopi Ukimwi wanaogopa Kisukari, wengi watakwambia Ukimwi haupo ndio maana wanatoa ushuhuda feki kwa mitume na manabii feki/wa mchongo eti wamepona HIV
Inasikitisha labda kwa sababu siku hizi kuna ARV, Maana kipindi hicho ilikuwa hakuna ARV so ukipata HIV lazma ujiandae kisaikolojia aisee Maana hakuna Dawa..

Dawa zimeanza kuingia miaka ya 2010s...
So Ndo maana wengi wana Jeuri maana Wamatumia Dawa so ni Vigumu kumjua..
Na hakuna Anayepona Ukimwi wanawadamganya Tu
 
Back
Top Bottom