Ni kama tumekuwa fooled kusahau kuwa UKIMWI bado upo

I can't use it
 
kuna kijana nilimsikia akiwachota wenzake eti ujue ukimwi sikuizi hauna nguvu unaweza kuishi nao bila hata kumeza dawa

nilimcheki!! nikamwambia usiombe kukutana na hiyo ndoige
 
Mkuu unaweza ukawa sawa ila usiwe sahihi..
Ishi campaign ilizinduliwa Mwezi wa 11 mwaka 2001 na Waziri Mkuu wa Enzi hizo Fredrick Sumaye..
Na waliamza kuzindua Dar, Dodoma wakazindua December 2001..
Wakamalizia Iringa maana ndo kulikuwa na maambukizi makubwa January 2002..

Ila hayo mabango yote yalianza kuwekwa mwaka 2002 kama sijasahau mwezi June 2002, Mwisho wa mwkaa wa serkali 2001/2002..

Redioni ilianza mwaka 2002 na Nyimbo zilitungwa mwaka wa fedha 2002/2003..
Ile nyimbo ya usione soo ilitungwa 2003 mwezi wa nne
 
Wanasema siku hizi hawaogopi Ukimwi wanaogopa Kisukari, wengi watakwambia Ukimwi haupo ndio maana wanatoa ushuhuda feki kwa mitume na manabii feki/wa mchongo eti wamepona HIV
 
Wanasema siku hizi hawaogopi Ukimwi wanaogopa Kisukari, wengi watakwambia Ukimwi haupo ndio maana wanatoa ushuhuda feki kwa mitume na manabii feki/wa mchongo eti wamepona HIV
Inasikitisha labda kwa sababu siku hizi kuna ARV, Maana kipindi hicho ilikuwa hakuna ARV so ukipata HIV lazma ujiandae kisaikolojia aisee Maana hakuna Dawa..

Dawa zimeanza kuingia miaka ya 2010s...
So Ndo maana wengi wana Jeuri maana Wamatumia Dawa so ni Vigumu kumjua..
Na hakuna Anayepona Ukimwi wanawadamganya Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…