Uchaguzi 2020 Ni kama vile Dkt. Mollel wa Siha amekalia kuti kavu, Agrey Mwanri anarejea Jimboni!

Uchaguzi 2020 Ni kama vile Dkt. Mollel wa Siha amekalia kuti kavu, Agrey Mwanri anarejea Jimboni!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Siasa ni sayansi.

Kustaafu kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Mwanri siyo habari njema kwa mbunge wa Siha mh Dr Mollel.

Kipingamizi pekee kilichokuwa kinamfunga mh Mwanri kugombea ubunge ni nafasi yake ya ukuu wa mkoa ambayo amestaafu rasmi.

Tusubiri na Tarime vijijini tuone rangi ya CCM.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mwanri alikuwa anadanganya live bungeni enzi zile ni naibu waziri. Alikuwa anaongea uongo grade 1 huku katoa jicho zaidi ya Kabudi. Huyu ubunge hafai. Apumzike, ale pension taratibu na atulie na wajukuu
 
Back
Top Bottom