Uchaguzi 2020 Ni kama vile Dkt. Mollel wa Siha amekalia kuti kavu, Agrey Mwanri anarejea Jimboni!

Uchaguzi 2020 Ni kama vile Dkt. Mollel wa Siha amekalia kuti kavu, Agrey Mwanri anarejea Jimboni!

Siasa ni sayansi.

Kustaafu kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Mwanri siyo habari njema kwa mbunge wa Siha mh Dr Mollel.

Kipingamizi pekee kilichokuwa kinamfunga mh Mwanri kugombea ubunge ni nafasi yake ya ukuu wa mkoa ambayo amestaafu rasmi.

Tusubiri na Tarime vijijini tuone rangi ya CCM.

Maendeleo hayana vyama!
CCM ina wenyewe molel awe mjasilimali tu
 
Mwanri ni kabila gani?

Ni kosa kuuliza kabila la mtu na haswa kama wewe ni Mtanzania na mzalendo. Swali lako nikusaidie kidogo; ‘Mhe Mwanri katoka mkoa gani’? Just simple and clear.
 
Aliyekuwa Mbunge Wa Siha Mkoani Kilimanjaro Godwin Molel amekamatwa na Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa Takukuru katika kata ya orkolili akidaiwa kufanya kampeni akiwa na gari ya serikali
Usiku

Inadaiwa kuwa Mbunge huyo amekuwa akifanya kampeni huku akiwalaghai wajumbe kuwa yeye ametumwa na Rais na yeye ni mteule Wa Rais Rais




Tayari moto umewaka... Ng'ombe alie katwa mkia[emoji16][emoji16][emoji16]
Huko Orkolili ni kwa Wamaasai wenzake.. Alidhani Ccm hawana akili kama yeye.. Hata toboa. Ona na Mzee wa jikune karudi home.. Sasa mtajua ni nani katumwa na Mh. Rais
[emoji1787][emoji1787]sisiemu hana rafiki
 
Wazee wa Siha walimligia magoti Mwanri na kumuomba msamaha wanataka achukue jimbo mchanaa kweupeeeeee....bye bye Mollel ..bye bye msaliti
 
Back
Top Bottom