johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Siasa ni sayansi.Ukute mwanri aliomba astaaf ili akagombee ubunge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa ni sayansi.Ukute mwanri aliomba astaaf ili akagombee ubunge.
Naungana na wewe kwenye ukabila ila napingana na wewe kwenye hilo la mtu kumiliki jimboHakuna cha ukabila Tanzania... Mwanri ana kwenda kurudisha jimbo lake
Mchaga wa CCM, si mlisema CHADEMA ni ya Wachaga?Mwanri ni kabila gani?
Siasa ni sayansi.Ukute Mwanri aliomba astaaf ili akagombee ubunge.
Ahsante kwa kunijuza, atakuwa kalewa maana leo ni ijumaa.Huyo ni Bavicha mkongwe!
Rudia kusoma ulicho andikaMchaga wa CCM, so mkisema CDM ni ya wachaga?
MmasaiMwanri ni kabila gani?
Hahaha huko hapanaWanaboa..boss naomba nikuchek jioni tupeane feedback...huez jua tukawa wa kiNa Laizer[emoji2960]
Bonge la kiongozi ila kwa kubadili Gia angani Fksi Fksi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila yote kuleta ladhaaaMwanri namkubali sana
Ataenda kutibu Machame hospital!Sasa huyo mmasai mwenye kipara ataenda kulima west
Ahsante, typing error.Nilikuwa namjibu aliyeuliza Mwanri ni ukabila gani.Jibu language likawa ni Mchaga wa CCM,ambapo tulizoea kusikia CDM ndiyo chama cha Wachaga kwa mujibu wa CCM.Rudia kusoma ulicho andika
Mmmmmhhh! Hivi ameshapanda daraja? Si juzi juzi tu alikuwa Yesu baada ya mwezi tu kawa Mungu!!!!!!!.Angalia watu wa kanda y ziwa/wasukuma katika safu za Mungu wa Tanzania
Safari hii anakuja kutema cheche na kushuka na wewe mzima mzima.Mwanri alikuwa anadanganya live bungeni enzi zile ni naibu waziri. Alikuwa anaongea uongo grade 1 huku katoa jicho zaidi ya Kabudi. Huyu ubunge hafai. Apumzike, ale pension taratibu na atulie na wajukuu
😜😂😂. Atashuka mzimamzima na bibi Tulia kama atapata tena ubunge wa kupewaSafari hii anakuja kutema cheche na kushuka na wewe mzima mzima.
Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??Mmasai
hao ni 0.000000101010% ya wachaga. Any way thanks kwa mfano huo, Chami ni mchaga wa Marangu ndo akawa msafi eeh? Na Mwanri ni wa Siha, inakuwaje kule Sanya wakafisadi misitu yote na yeye kanyamaza tu, au ndio kulinda heshima ya sirikali?Ben said:
Mama,
Kuna kama akina Dk.cyril Chami aliyekua deputy wa Bernard Membe,kuna akina Aggrey Mwamri ambae hata watu kutoka opposition walimkubali huyu jama ni mzalendo kweli kweli,rejea post ya Zitto kwenye ile thread iliyokua inawajadili akina Dk.Salim.
wengine walioko kama wangekua wachafu ni lazima wangekua wameshatangazwa kama Mramba.