johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwanri ni kabila gani?Mollel ni ng'ombe alie katwa mkia. Ukimchanganya na wenzake lazima aonekane. Ahadi aliyo pewa amesha timiziwa. Sasa ajue Mwanri ana kwenda kuchukua jimbo lake..
Mwanri in kabila gani?
Hakuna cha ukabila Tanzania... Mwanri ana kwenda kurudisha jimbo lakeMwanri in kabila gani?
Yaani. Nikikumbuka nacheka sanaMwanri alikuwa anadanganya live bungeni enzi zile ni naibu waziri. Alikuwa anaongea uongo grade 1 huku katoa jicho zaidi ya Kabudi. Huyu ubunge hafai. Apumzike, ale pension taratibu na atulie na wajukuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanri alikuwa anadanganya live bungeni enzi zile ni naibu waziri. Alikuwa anaongea uongo grade 1 huku katoa jicho zaidi ya Kabudi. Huyu ubunge hafai. Apumzike, ale pension taratibu na atulie na wajukuu
Ukabila upo wa wazi wazi!Hakuna cha ukabila Tanzania... Mwanri ana kwenda kurudisha jimbo lake
Hivi aliwahi kuwa mbunge? sina kumbukumbuChaga nadhani
Hasa Chadema!Ukabila upo wa wazi wazi!
Mwanri ni kabila gani?
Angalia watu wa kanda ya ziwa/wasukuma katika safu za Mungu wa TanzaniaHasa Chadema!
Angalia uongozi wa Chadema kwa mfano... Mbowe, Mrema, Munisi nk!Angalia watu wa kanda y ziwa/wasukuma katika safu za Mungu wa Tanzania
Siasa haina umriUmri wake angeendeleza mambo yake tu
Asije akaishia kutapanya alicho nachoSiasa haina umri