Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika

Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika

Hizo ni sehemu ambazo hazina mzunguko wa pesa ...kwa mtu makini kama vunja bei sidhani kama hakulijua Hilo,ninavohisi nguo sio biashara yake kuu.

Wa mikoani ndiyo wavaaji sana wa nguo za madukani ,si kweli sehemu kama hizo eti hakuna wateja ,huyo jamaa kashanaza kwenye ndoano ,ndiyo maana mwijaku alivyomtekenya akabweka balaa.
 
Aisee ...huend halijafungwa mazima lakin
Hilo gorofa lote ni ofisi yake duka halijafungwa jamaa kapita upande wa fremu za watu wengine duka lipo kwa nyuma barabara ya uhindini na halijafungwa nna uhakika hapo kwa mbele sio dukani, mzee huyu jamaa kadanganya, kwa watu wanaojua iringa wanajua upande wa duka lilipo
 
Kwamba mwamba kapigika kweli?. Juzi katoka shopping ya milioni tisa
 

Attachments

  • a3f2cb96-1f44-4f71-b27d-72cce2fb3781.jpeg
    a3f2cb96-1f44-4f71-b27d-72cce2fb3781.jpeg
    442.3 KB · Views: 7
  • 879dc071-b8e6-49bc-a246-88922b1e72db.jpeg
    879dc071-b8e6-49bc-a246-88922b1e72db.jpeg
    413.9 KB · Views: 9
Ni kawaida kama umeshafanya biashara ama kuwa karibu na watu walofanya biashara. Kupanda na kushuka, na kupanda tena ama kushuka moja kwa moja. Upepo ukikubali unaweza shika hela hadi ukatamani kupiga nazo picha. ukiwa kichwa chepesi hauishi kuwa mitandaoni kupost mafanikio na lifestyle. Na upepo ukigoma utatamani malaika washuke waiizime mitandao. hutatamani kuona hata picha za moet ama Hennessy
Mkuu umeandika point tupu!
 
Nilikuwa Mbeya huko nikapita mitaa ile ya SIDO ni kama vile duka la Vunjabei linapumulia mashine, halina mzunguko wa biashara kivile.

Jana nimepita Iringa napo naona lile duka alilolifungua kwa mbwembwe nalo lishajifia na kufungwa muda tu.
Hapo Dar duka lake la Sinza nalo linapumulia mashine.

Ni kama vile jamaa kaanza kufilisika mdogo mdogo.

Nimeambatanisha picha za duka lake la Iringa lililofungwa.

View attachment 3088613
Wakinga wanajua biashara na mbinu zake jamaa hajafirisika Sema kawekeza nguvu kubwa kwenye biashara ya madawa ya binadamu yawezekana kule ndo kunamlipa zaidi
 
Nimeambatanisha picha za duka lake la Iringa lililofungwa.

View attachment 3088613
Kwa iringa sio kweli mkuu fanya uzungukie kwa nyuma hapo uhindini street nyuma ya hilo jengo ndo kuna entrance na duka linapiga kazi kama kawaida. Naona umefanya utafiti wako binafsi bila kuuliza wenyeji umefata stage namba moja ya observation bila kufanya namba mbili ya interview , YOUR RESEARCH IS NOT LEGIT
 
Back
Top Bottom