Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika

Ugua Pole Kaka
 

Unataka faida gani sasa, unafurahi binadamu kufilisika
 
Watu wengi naona mnawaza uchawi tu muda wote. Public figure kama Vunjabei kujadiliwa ni jambo la kawaida. Vunjabei kufilisika ni jambo litakalowaathiri wengi hasa wafanyakazi wa maduka yake hivyo watu kufahamu kinachoendelea sio mbaya ili kama kuna tatizo asaidiwe. Nchi nyingi tu huwa wanatoa ruzuku au mkopo wenye riba isiyozidi 5% kuwaboost.
 
Tanzania ni moja hizo nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…