Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Alienda China kwa Mtaji wa Milioni 4 tu. Atarudi tena. Maisha ni mlima na mabondeNilikuwa Mbeya huko nikapita mitaa ile ya SIDO ni kama vile duka la Vunjabei linapumulia mashine, halina mzunguko wa biashara kivile.
Jana nimepita Iringa napo naona lile duka alilolifungua kwa mbwembwe nalo lishajifia na kufungwa muda tu.
Hapo Dar duka lake la Sinza nalo linapumulia mashine.
Ni kama vile jamaa kaanza kufilisika mdogo mdogo.
Nimeambatanisha picha za duka lake la Iringa lililofungwa.
View attachment 3088613