Jino kwa Jino sio , puaWoga tu unawasumbua, hapa kwa hali ilipofikia vita haiko mbali,
Kama mumezoea kuchezea bakwata basi sasa waislamu originally ndio wapo mstari wa mbele kutetea dini yao
Kila ujinga na upumbavu wenu tutaujibu na kuupinga kwa nguvu zote hata ikibidi na ibidi tu
BAKWATA ipo chini ya Kanisa!??Jielimishe acha ujinga..na uache kusikiliza story za kusadikika kutoka kwa mashehe wako ubwabwa..itakusaidia..Kama hujui waislam wa kweli wote hawapo bakwata kwa kuwa bakwata ni taasisi ya kanisa
Yahe ngoja kidogo tuwanyooshe hawa wagalatia, wamejisahau sanaJino kwa Jino sio , pua
Kwa pua al
Anfi nil anfi, jicho kwa jicho al ain bil ain
Usifanye hivyo shekhe… wewe ni Mtu Mweusi you are a slave black skin …. Sasa unataka kudhuru black wenzio kwa majereo ya waarabu
Are you mad ?
magu alikemewa wewe, halafu msitake wahalifu wanaotumia dini watetewe, kama wale wa mwembechaiKipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
Labda tuulize wewe ulikuwa wapi! Soma hii ya 2018 wakati wa JPM:Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi
Naweza kukuthibitishia 200%BAKWATA ipo chini ya Kanisa!??Jielimishe acha ujinga..na uache kusikiliza story za kusadikika kutoka kwa mashehe wako ubwabwa..itakusaidia..
Tamko la Makkah wapi bwashee.!?..wakati Kenya hapo jirani wamesherekea Idd tofauti na Tanzania..siku tofauti.Umeona ujinga wako sasa, nani asubiri tamko la bakwata? Sisi tunafata tamko la makkah kama mnavyofata tamko la roma na sisi ndio tutaikomboa inchi hii
Ni suala la mda tu
Hainisaidii kitu kukujua ww ni nani kama hoja zako hazina kichwa na miguu..bas ata hizo ranks zako hazikusaidii..kitu.Naweza kukuthibitishia 200%
Humu hatujuani lakini kila mmoja wetu ana vyanzo vyake na rank yake
Ndivuo mnavodanganyana?Elimu dunia huku tunazalisha wake zao
Kama elimu akhera is better than hii physically education basi watupishe au waende Gaza
Ulikua mdogo kipindi cha Magufuli labda, unamjua Askofu wa jimbo la Lulenge anaitwa Niwemugizi?, unamjua Askofu Bagonza? Askofu Mwamakula?Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
Hata hapa tumesherehekea siku tofauti na bakwata, Bakwat peke yao wamekula siku yao hapa tanzania pekee, dunia nzima tumekula siku mojaTamko la Makkah wapi bwashee.!?..wakati Kenya hapo jirani wamesherekea Idd tofauti na Tanzania..siku tofauti.
Hata hapa tumesherehekea siku tofauti na bakwata, Bakwat peke yao wamekula siku yao hapa tanzania pekee, dunia nzima tumekula siku mojaTamko la Makkah wapi bwashee.!?..wakati Kenya hapo jirani wamesherekea Idd tofauti na Tanzania..siku tofauti.
Unahamisha magoli?Wanasema Islam ni tawi la Christianity chini ya Muhammad Ibnu Abdillahi ( S.A.W)
Kwa kweli ni shida kwa hao masheikh. Badala ya kuchangia wao wanavyoona, wanaanza ku'wrestle' na maaskofu as if ukosoaji uliwalenga wao au wao ndio wasemaji wa serikali.Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.
Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.
Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.
Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?
Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?
Changamoto ni elimu Dunia au ?
In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?
Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?
Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.
Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.
Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.
Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI
Utanijua tu, ipo sikuHainisaidii kitu kukujua ww ni nani kama hoja zako hazina kichwa na miguu..bas ata hizo ranks zako hazikusaidii..kitu.