PreGE2025 Ni kama Vita ya Kidini inazidi kupamba moto. Kuna kitu hakipo sawa

PreGE2025 Ni kama Vita ya Kidini inazidi kupamba moto. Kuna kitu hakipo sawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwalimu wa madarasa ?? Aloishia Lasaba, na Lasaba yenyewe Kwa mbinde kwelikweli


Unadhan kwann shule za Kiislam na Mikoa yenye Waislam wengi ,mnafeli sana mitihan Kidato Cha Nne
Ni hujuma tu, na ndio maana kighoma ali malima alivyokuja na mpango wa namba kwa watahiniwa mkamuua

Kuna mengi sana ya hovyo invhi hii wagalatia wamewafanyia waislam
Ila sasa mwisho umefika
 
Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
Wewe acha kutia aibu hao maaskofu walimkemea Sana Magufuli sijui kwann vijana hamfatilii mambo
 
Mwalimu wa madarasa ?? Aloishia Lasaba, na Lasaba yenyewe Kwa mbinde kwelikweli


Unadhan kwann shule za Kiislam na Mikoa yenye Waislam wengi ,mnafeli sana mitihan Kidato Cha Nne

Dini ya Muslim haina Ila shida IPO kwa mashek waliojitoa ufahamu .
 
Wewe uliwahi kuona barua yoyote ya kanisa kukemea masheke kuwekwa ndani au ponda kupigwa, unajua sasa hivi waislamu nao wameanza kuchoka kusemwa ovyo
 
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI


Matatizo yote yanatokana na ukosefu wa HAKI tusisahau hilo. Hawa wote wanaopetezwa ni kwasababu wanataka haki za kila Mtanzania za msingi. Hivyo kuna pande mbili tu wanaotaka HAKI na wasiotaka HAKI. Ni ujinga kufikiria zaidi ya hapo. Huyo Mama Samia ni haki kulaumiwa kwa yote kama Raisi maana ni mambo ambayo yako chini ya uwezo wake. Huyu ni Mama ambaye serikali yake inapigana mahakamani kumnuonga Lissu kwa kupitia mgongo wa sheria.
 
Wewe uliwahi kuona barua yoyote ya kanisa kukemea masheke kuwekwa ndani au ponda kupigwa, unajua sasa hivi waislamu nao wameanza kuchoka kusemwa ovyo
Sasa kama viongozi wenu wa Dini (BAKWATA) walikaa kimya walikaa kimya unategemea nn..!?
 
Wewe uliwahi kuona barua yoyote ya kanisa kukemea masheke kuwekwa ndani au ponda kupigwa, unajua sasa hivi waislamu nao wameanza kuchoka kusemwa ovyo
Tatizo lenu sijui akili mliwapa majini..watu wanadai haki..nyie mnasema ni udini..mbona mnakuwa wajinga kiasi hiki.
 
Wakatoliki hujifanya wamesoma kuliko waislamu lakini ukiwaona kuanzia maprofesa wa kikatoliki wachungaji manabii na waumini ni wajinga wajinga mazombe utafikiri mazezeta fulani, kisomo chao hakiwasaidii chochote, kanisani wababa wanachapwa fimbo mbele ya wake zao wanatiwa makofi mbele ya wake zao, chooni wanatumia toilet paper, binadamu wao wana muita mungu sanamu la mzungu wanalibusu kanisa zima halafu wanakuambia wana akili shwain, mtoto mdogo wa madrasa anakili kuliko profesa mkatoliki, matajiri wengi waislamu tanzania hii wao wsnajifanya wamesoma kazi kuomba kazi serikalini waibe ndio waisha siku mkatoliki akistaafishwa utamuonea huruma, wanaosomea madrassa pesa wanayo hawahitaji kuajiriwa, wanaishi vizuri kula vizuri, ngoja mkatoliki akupikie pilau utafikiri makande hawajui hata kula vizuri
 
Sasa kama wachungaji wanamchukia samia unataka watu wote wamchukie... Hizo ni shida zao mama anatosha
Ni kweli lazima useme hivyo mtoto wa kike, maana kama ajira umekwishaipata na ulikuwa haufiki kileleni sasa hivi unafika kileleni zaidi ya mara saba shida ipo wapi mtoto wa kike eeeeh.
 
Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
Ni weak sana!
 
Wakatoliki hujifanya wamesoma kuliko waislamu lakini ukiwaona kuanzia maprofesa wa kikatoliki wachungaji manabii na waumini ni wajinga wajinga mazombe utafikiri mazezeta fulani, kisomo chao hakiwasaidii chochote, kanisani wababa wanachapwa fimbo mbele ya wake zao wanatiwa makofi mbele ya wake zao, chooni wanatumia toilet paper, binadamu wao wana muita mungu sanamu la mzungu wanalibusu kanisa zima halafu wanakuambia wana akili shwain, mtoto mdogo wa madrasa anakili kuliko profesa mkatoliki, matajiri wengi waislamu tanzania hii wao wsnajifanya wamesoma kazi kuomba kazi serikalini waibe ndio waisha siku mkatoliki akistaafishwa utamuonea huruma, wanaosomea madrassa pesa wanayo hawahitaji kuajiriwa, wanaishi vizuri kula vizuri, ngoja mkatoliki akupikie pilau utafikiri makande hawajui hata kula vizuri
Sasa nyinyi kisomo chenu kimewasaidia nini? Maana kila Ukijamba umeharibu uzu ilhali ukijua umekula maharage na kusababisha tumbo kujaa gesi.

Wakati mwingine mnagombania kushika jiwe jeusi wakati jiwe lenyewe limetoka Mwanza pande za nyegezi na kusafirisha pande za Huko macca
 
Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
Mbona Magu walimkaanga vizuri tu hadi wengine wakaanza kusumbuliwa kwa kesi za uraia

hata ingekua hawakuongea kipindi cha magu kwaiyo ndo kigezo cha kukubali kilakitu
 
Unajua siku zote ukilambishwa sukari lazima utakuwa upande huo.

Hembu cheki mashekhe kuunga mkono kila kinachofanywa na serikali ya awamu hii means kuna kitu wanagain hii awamu (au kwa namna fulani kuna masilahi flani wanayaona awamu hii as opposed to awamu zingine)

Remember, hii haihusiani na kwamba Sa100 ni muslim Big No. Ingekuwa hivo basi ata kwa kikwete mashekhe wangeact hivyo but tuliona kwa kikwete mashekhe wetu walisuguana sana na yule jamaa (correct me if I'm wrong)

Sasa that's why nguvu ya sukari inafanya mpaka wakristo walioko upande wa serikali kukaa kimya pale mashekhe wanapolipuka kujibu ukosoaji wa maamuzi ya sa10 sasa inaonyesha na wenyewe wako tayari ki side na mashekhe kuwakandamiza wakristo wenzao wwnaopambania haki. Mfano mzuri wa hawa watu ni kina Ray C Chalamila 🤣...

So sukari ukiilamba ndugu zangu ubaya ndio unaazia hapo. Kamwe hamuwezi kufight the enemy kama hamko na common grievance.

I stand to be corrected
 
Back
Top Bottom