PreGE2025 Ni kama Vita ya Kidini inazidi kupamba moto. Kuna kitu hakipo sawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI

Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
Kwa kumbukumbu yangu, suala Mwembe Chai ilikuwa wakati Wa Maruhuni Mzee Wetu Rukhsa, mwenye kutaka Kula mende n.k Rukhsa. Mkapa ilikuwa ni Pemba baada ya uchafuzi Kwa maslaha mapana ya muungano, Kikwete kuna Ulimboka, Kuna mwandishi moja n.k, JPM Kwa maslaha mapana ya nchi - maendeleo na sio kudumaza maendeleo au nchi. 4R sijui ana dhulumu ili aendele kuwa madarakani na kuuza nchi au ili tuje tujigomboe Upya . Dhuluma inakuwa Mbaya zaidi ikiendana na ubinafsi na kuua utaifa.
 
Bwashee hamna vita ya kidini itatokea..shida ni wahuni wachache sasa hivi wanataka kutumia kichaka Cha Dini kutafuta sympathy na kuficha ujinga/upuuzi wao..
Kweli kabisa ni wajinga wachache wenye mihemko wanataka kuleta taharuki kwa watu kwa sababu ya manufaa yao fulani.
 
🤣 kwani usipo quote hivyo lan yadhurukum ilaa adhaa hutoeleweka ? Si uandike kiswahil we mtu mweusi…. Unajiproud na kiarabu 🤣

jivunie Lugha yako ya Kiswahili …. We mtumwa assuwad kiarabu is not your language

Thé, why kinuke ? Hii unanipa Tafsiri Islam imesimama kwa Violence …. Silimu Usalimike…

So Majina ya elimu yametoka wapi?
Wewe unamcheka mwenzako na kumuita mtumwa kwa kuchanganya maneno ya kiswahili na kiarabu halafu na wewe unachanganya maneno ya kiswahili na kiingereza tofauti yenu ni nini?
 
Maaskofu wako walipowekwa masheikh ndani kwa kesi za kubumba za ugaidi waliwahi kukemea?
Au maaskofu ni special sana?
Waislamu waliouliwa na MKAPA pale Mwembechai 1998 Pengo funga kazi alisapoti hasa akasema waislamu walikua wanarusha kwa polisi na jiwe linaseza kuuza kama kesi ya Daudi na Golia.. Umesahau au ulikua hujazaliwa?

Waislamu wa Pemva jee 2001 MKAPA huyo huyo
Sheikh Ponda huyo huyo unaeamini ni smart kule masheikh wore kwa kutetea haki, alikula shaba kule Morogoro watetezi wa haki mlipaza sauti?
Mwenzenu huyu mjue au dini yake ni kikwazo?
Hoja yako ingekuwa na uzito zaidi kama ungeweka tamko lililotolewa na BAKWATA katika matukio yote hayo, ambayo TEF wao wakaamua kukaa kimya au kuwa na msimamo tofauti.

Tatizo la watu aina yenu ni kwamba mnapenda sana kutumia mifano ya aina hii kuonyesha "udini" wa wengine, lakini "udini" wenu, ambao ndio msukumo wa hoja hizi mnausahau.

Mmetumia sana mbinu hii, sasa siyo mbinu tena, bali watu wametambua mnachofanya.
 
Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
Hujasikia maaskofu walionyanganywa pasport wakati wa Magu? Je kama huo huovu ulikuwepo wakati wa magufuri mashekhe walikatazwa kusema? Aacheni upumbavu wenu toko huko mliko mkakitete kizazi chenu.Naamini hao wanaotete maovu wameongwa, ndio maana wanakuja na vijisababu vya mbona mwaka flani rais flani alifanya hivi na hivi lakn maaskofu walikaa kimya, si bora ya kukaa kimya kuliko kutoka na huo ushuzi wenu.
 
Mpumbavu ni wewe usieelewa ajili ya kukumbatia udini, hata mie naweza kusema wakatoliki waote ni wapbavu kwani si mdomo tu, halafu saa hii tumewashtukia na hiyo bakwata yenu hakuna muislam sahihi anaitaka hiyo taasisi yenu,

Kwa taarifa yako sasa hivi waislamu wameshtuka na tutakula nanyi sahani moja mpaka akili ziwakae sawa

Enzi zimeisha bwashee
Hili la kuitelekeza BAKWATA litawezekana hapo CCM itakapotoka madarakani. Vinginevyo, unajisemea tu hapa. Uende wapi, CHADEMA au ACT-Wazalendo au CUF ya Lipumba kuifufua upya?
Mkitafuta chhama cha kidini si ndiyo mtaiua kabisa Tanzania, au mnafikiri nini kitatokea?

Sijaona hoja yoyote unayo ielezea humu isipokuwa msukumo wa kujitenga kidini tu basi; huku ukilalamikia wengine kuwa wadini! kumbe mdini mkubwa, tena hatari kama Boko haram ukiwa ni wewe.
 
Woga tu unawasumbua, hapa kwa hali ilipofikia vita haiko mbali,
Kama mumezoea kuchezea bakwata basi sasa waislamu originally ndio wapo mstari wa mbele kutetea dini yao
Kila ujinga na upumbavu wenu tutaujibu na kuupinga kwa nguvu zote hata ikibidi na ibidi tu
EEEeeenHEEEeeeeeh!
Kweli mahindi hayaoti mjini, sijui mji gani huo.
Mihemko hii kweli utaishi nayo hadi nyakati hizo unazozitamani zitakapowadia? Naona wewe hutafika mbali kwa mwendo huu.
 
Ni ajabu snana. Haki ya usawa inaelekezwa kwa Serikali , ajabu Respondent ni MASHEKHE …. Very Much confusing
Halafu kuna shehee wenzao wamekula mvua za maisha juzi.Wengine wamekaa maabusu almost 10 yrs.
Hawana akili hao: huwezi kujitenga na elimu dunia ukawa sawa kwa ulimwengu wa sasa
 
Ukweli utabaki ukweli, wakatoliki wote kwa umoja wao wanampiga vita samia kwa kuwa tu ni muislam,

Na sisi tunasema tutawapiga vita wakatoliki popote walipo wakati wowote katika uongozi wa invhi hii

Mamalaka lazima iheshimiwe na mamlaka ni jamhuri ya muungano wa Tanzania full stop
Sidhani kama ni kweli ukiacha hisia mkuu. Kuhusu uchaguzi kama mtanzania kwa kweli hakuna uchaguzi ilankuna ushuzi.

Sijaona sehemu TEC wametaja dini au kumtaja Samia. Please tumieni hivyo vichwa Mungu alivyowapa kwa kufikiria mkuu.

Dah.
 
Wakatoliki hujifanya wamesoma kuliko waislamu lakini ukiwaona kuanzia maprofesa wa kikatoliki wachungaji manabii na waumini ni wajinga wajinga mazombe utafikiri mazezeta fulani, kisomo chao hakiwasaidii chochote, kanisani wababa wanachapwa fimbo mbele ya wake zao wanatiwa makofi mbele ya wake zao, chooni wanatumia toilet paper, binadamu wao wana muita mungu sanamu la mzungu wanalibusu kanisa zima halafu wanakuambia wana akili shwain, mtoto mdogo wa madrasa anakili kuliko profesa mkatoliki, matajiri wengi waislamu tanzania hii wao wsnajifanya wamesoma kazi kuomba kazi serikalini waibe ndio waisha siku mkatoliki akistaafishwa utamuonea huruma, wanaosomea madrassa pesa wanayo hawahitaji kuajiriwa, wanaishi vizuri kula vizuri, ngoja mkatoliki akupikie pilau utafikiri makande hawajui hata kula vizuri
Hoja za namna hii ni burudani kuliko hizo za mahindi ya mjini.
 
Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
Hukuona walipotoa waraka mara kadhaa?.
Tatizo la mashekhe wetu hawana elimu kubwa.
 
Sa
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI

[/QUOTE
Mashehe wanaona Samia yupo kutetea uislamu
 
Mods punguzeni mada za siasa-dini ambazo zinatweza dini nyingine. Zinafarakanisha jamii yetu. Kuelekea uchaguzi mkuu ni vyema mkawa sehemu ya kujenga sio kubomoa.
 
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI

Sheikh Ponda Issa Ponda ndiyo alistahili kuwa kiongozi wa Waislam wote nchini. Na Shura ya Maimam wangechukua jukumu la Bakwata. Na Bakwata ingesajiliwa rasmi kuwa moja ya tawi la ccm nchini.
 
Uzuri wa Tanzania hakuna Waislamu Siasa kali wala Wasabato Asilia 😁
Muislamu kuwa na siasa kali au kutokuwa na siasa kali siyo tatizo tatizo huyo Muislamu ni mpumbavu wa siasa kali au ni mpumbavu wa kutokua na siasa kali....ni kama upole , kuna upole wa haki na upole wa upymbavu . Tatizo la waislamu wa Tanzania ni upumbavu wana upumbavu ulio tukuka kiasi kwamba wamekuwa wanafiki vipofu wehu ...vibaraka wa waarabu na mabeberu . Wenye kuabudu wenye mamlaka ili kushibisha tumbo zao..
Awasimami katika HAKI NA KWELI
 
Back
Top Bottom