PreGE2025 Ni kama Vita ya Kidini inazidi kupamba moto. Kuna kitu hakipo sawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
Uko serious, kuna watu walimkemea magufuli kama maaskofu mzee au nikutolee waraka uusome
 
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI

''Upande wa ubwabwa'' ndivyo ulivyo awamu zote. Mtu wao akiingia, huwa wanajitoa ufahamu na kumtetea hata pale anapofanya makosa makubwa. Ni ukosefu wa ilmu dunia na vision kiasi ambacho wandhani wanakomoa wakristo. Mbaya zaidi ni kuwa hawajui kama wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe kwani maisha ya watu wote yanazidi kudidimia.
 
Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
Jibu swali mzee
Kuzungumzia haki ni ukristo?
JPM nae alikemewa Sema ukoikariri huwezi kuelewa. Unakumbuka mpaka Kuna askofu Kanda ya Ziwa alichunguzwa uraia wake?
 
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI

CCM Sio wa kubembeleza wana sikia ambalo halisi dawa.

Yaani hoi nchi inaendeshwa kila mtu kivyake. Rais ndiye amekuwa katiba ya nchi hoi.

Bunge linaendesha kivyake

Wizara kivyake

Wakuu wa mikoa ndio wameliharibu kabisa sijui kama wanajua hoi nchi inaendeshwa na katiba. Tatizo ni asilimia.

Wakuu wa wilaya nao usiseme ni laana tupu

Uje kwenye kata ni uvundo mtupu. Madalali kila kona. Yaani madalali wote ni CCM
 
Sidhani kama ni kweli ukiacha hisia mkuu. Kuhusu uchaguzi kama mtanzania kwa kweli hakuna uchaguzi ilankuna ushuzi.

Sijaona sehemu TEC wametaja dini au kumtaja Samia. Please tumieni hivyo vichwa Mungu alivyowapa kwa kufikiria mkuu.

Dah.
Sahihi mkuu hata na mimi huwa nawaomba muthibitishe pasi na shaka kama rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania anahusika na hayo mnayombandika na kumsema lakini hakuna hata mmoja anaethibitisha zaidi ya hisia na matusi tu

Sasa hizi tukiita ni chuki dhidi ya rais muislam tunakosea?
 
Na Samia anajitahidi sana kuiondoa taasisi hiyo ndani ya kanisa! Huu nao ni mjadala unaochipukia pembezoni!

Kwa hiyo siyo kweli ulivyosema hapo juu, kwamba " waislam wanaojitambua hawawezi kuwepo BAKWATA.
Hilo hataweza, labda aifute

Ila tunashkuru sasa huvi kuna taasisi nyingi za waislam wenye kujitambua na kuijua dini yao,
Na ukombozi utatokea huko sio bakwata
 
EEEeeenHEEEeeeeeh!
Kweli mahindi hayaoti mjini, sijui mji gani huo.
Mihemko hii kweli utaishi nayo hadi nyakati hizo unazozitamani zitakapowadia? Naona wewe hutafika mbali kwa mwendo huu.
Mbali wapi?
انهم يرونه بعيدا ونراه قريبا
Yaani "wao wanaona mbaaali, n sisi tunaona karibu hivi"
 
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI

Jamaa una andika haraka haraka alafu una andika kama mgeni wa hapa nchini. Sijui ni utoto au baleghe au hanithi

Umeandika kwa kujifanya mjuaji bila kutumia maarifa. Haya tuambie padre kashambuliwa umeshawai ona picha yake yupo hospital ana hata jeraha.?? Hiyo ni movie tu imechezwa kutengeneza taharuki ili ionekane rais anashambulia wakiristo.!! Hizo ni mbegu zinapandwa na soon zinamea si unaona media zilivyolipuka na matamko ya kila askofu . Utadhani maaskofu ndio wana haki ya kuishi kuliko wengine.

Hapo shida sio haki bali shida ni samia suluhu jina hilo ndio hawalitaki hao jamaa wanaongoza kwa chuki hapa duniani .wanataka wapate wao tu kila kitu

Ndio maana hata matukio mengine wanakemea kwa maslahi yao hao ni watu wa double standards siku zote

Hata ukiwafanyia mazuri kiasi gani ila kama hawakutaki katika hayo hayo mazuri wanakutafutia sababu za kukuchafua uondoke.

Tangia umekuwa we hanithi mtoa mada ulishawai sikia nchi hii kuna sehemu wakiristo wameuawa na serikali au kupewa kesi za ugaidi.???

Kwa upande wa masheikh umesikia kesi ngapi kama hizo.??????

Mtoa mada Acha ucenge na ujuaji
 
Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
Umezaliwa lini?
 
Hili la kuitelekeza BAKWATA litawezekana hapo CCM itakapotoka madarakani. Vinginevyo, unajisemea tu hapa. Uende wapi, CHADEMA au ACT-Wazalendo au CUF ya Lipumba kuifufua upya?
Mkitafuta chhama cha kidini si ndiyo mtaiua kabisa Tanzania, au mnafikiri nini kitatokea?

Sijaona hoja yoyote unayo ielezea humu isipokuwa msukumo wa kujitenga kidini tu basi; huku ukilalamikia wengine kuwa wadini! kumbe mdini mkubwa, tena hatari kama Boko haram ukiwa ni wewe.
Boko haram, alshabab, alqida na wenzao zote ni taasisi za kutengenezwa na makafiri ajili ya kupatia sababu za kudhuru uislam,

Uislam ni amani, ukiitaka utaipata, ila ukileta dhulma ujue haikubaliki na moto utaanzia hapo

Kwahiyo achana na taasisi yeyote iwayo ambayo haifuati sharia

Tunataka uhuri kamili, mfano mahakama ya kadhi ni kwa ajili ya waislamu, lakini nani aliipinga kwa nguvu zote? Kanisa liliipinga mpaka kutishia kwamba inchi haitatawalika, sasa hivi kanisa mambo ya waislam yanawahusu?
Ndio nikasema nyie waoga tu bwashee
 
Hujaelewa hata nilichoandika! Alibuni mwaka gani? Tangu miaka 1840 System za Cambridge and BritIsh Curiculum zinatumia specific code na sio names .

Ukisema alibuni yeye that means it never existed before ….. dunia kote!

Una akili wewe ? ….. hayo ni Maneno ya Msikitini mnayodanganyana

System ya kutumia namba ni adoptable mechanism ya Wizara ya elimu kama unavoona kwa sasa kila mtu ni NIDA lazima awe nayo Tanzania…. It has nothing to do na mambo ya Malima… ni story za Masjid hizo kama zile za kuwekewa Nguruwe kwenye vyakulq ili msisome…

UJINGA WA IMANI NI LAANA
HUKO MTWARA RUFIJI PEMBA UNGUJA NK vipi hadi sasa wanatumia majina kwenye NECTA? Mbona ufaulu ni duni sana Ila watoto wamehifadhi Quran hata maana yake hawajui

Kwa sasa hivi wa Islam tunawekewa hizo namba, kuna kilichobadilika?

Ukiona unaongeq mambo ya Udini kwenye Elimu ujue wewe ni MJINGA for sure
Very stupid boy, wewe ni Assuwad Huna dini…. Ni mamluki kwenye Uislam , Uislam ni wa waarabu sio wewe black skin . Ukienda Saudia watakuuliza umeanza kuwa muslim tangu lini… Bilal 🤣
Huna cha ziada zaidi ya kutukana

Ninao ushahidi na nilishuweka humu, tukimaliza std 7 mwaka flani ya themanini na kafiri hata kuandika hajui lakini alipasi na leo tkiongea eti nimemuona arusha miaka kumi iliyopita eti ni meneja wa kampuni nyeti ya serikali inayolalamikiwa sana kushindwa kuwapa wateja wake huduma nzuri

Hivi unapataje huduma bora ya mwanga kwa meneja wa aina hii? Kama si kubebwa ni nini?
 
Huu no ushamba unaleta hapa,
Hakuna kafiri yeyote ana elimu kuliko hata mwalimu wa madrasa tu wacha kina profesa kadha wa kadha wa kiislamu waliopo inchini na inje ya inchi
Kaka, kafiri umeliona wapi kwenye mchango wangu? Hilo la kwako, narudia tena; nitajie sheikh mmoja tu ambaye ana uongozi wa msikiti au taasisi yeyote ya Kiislamu ambaye walau kafika form 6. Kama wote wameishia darasa la wengi, anaweza kukaa na PhD holder kujadiri issues? Don't kid yourself bro; kutukana haisadii chochote. Elimu ni muhimu. Mtu wa darasa la 7 anaweza kujadiri uchumi? Anaweza kufanya forecast ya Tanzania ya 10 Years to come? Jadiri hoja, achana na personal attach kaka, nchi ni yetu sote.
 
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI

Hawa waganga wa kienyeji TEC hawapaswi kujibizana nao lolote.
 
Kaka, kafiri umeliona wapi kwenye mchango wangu? Hilo la kwako, narudia tena; nitajie sheikh mmoja tu ambaye ana uongozi wa msikiti au taasisi yeyote ya Kiislamu ambaye walau kafika form 6. Kama wote wameishia darasa la wengi, anaweza kukaa na PhD holder kujadiri issues? Don't kid yourself bro; kutukana haisadii chochote. Elimu ni muhimu. Mtu wa darasa la 7 anaweza kujadiri uchumi? Anaweza kufanya forecast ya Tanzania ya 10 Years to come? Jadiri hoja, achana na personal attach kaka, nchi ni yetu sote.
Hata nikikutajia unawajua?
Kwani uchumi kwako ni nini?

Nani anatukana hapa? Nani anafanya kashfa hapa?
Wacha ushamba kafiri mkubwa wewe

Unahamisha magoli kwa kutoa hoja hazina hata afya
Mafisadi wakubwa
 
Kaka, hasira za nini tena? Kimekuumiza nini? The point is, "hakuna sheikh alieuona mlango wa darasa" point iko hapo. Wewe ukiniita kafiri, mshamba au FISADI haisaidii kuuondoa ukweli kwamba, "ma sheikh wote nchi hi ni maamuma" haya, tukana tena
 
Back
Top Bottom