PreGE2025 Ni kama Vita ya Kidini inazidi kupamba moto. Kuna kitu hakipo sawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kaka, hasira za nini tena? Kimekuumiza nini? The point is, "hakuna sheikh alieuona mlango wa darasa" point iko hapo. Wewe ukiniita kafiri, mshamba au FISADI haisaidii kuuondoa ukweli kwamba, "ma sheikh wote nchi hi ni maamuma" haya, tukana tena
Na maaskofu wote inchi hii ni mashoga
 
Na maaskofu wote inchi hii ni mashoga
Hilo la ushoga linafanyikia gizani huko and hence we can't prove it, ingawa Mange Kimambi aliwahi kumtuhumu sheikh 1 mkubwa sana hapa nchini kwamba nae ni mwana chama wa hiki kitu unacho kisema hapa but again zote hizo ni tuhuma ambazo mimi binafsi siwezi kuzithibitisha, unless uwe mmoja wao maanake watenda maovu wanajuana and hence siwezi kukubishia hilo huenda nawe ni mwana chama mwenzao.
Tusitoke nje ya mstari, turudi hapa, "kuhusu elimu ya shuleni, ma sheikh ni maamuma" hawana uwezo wa kujenga hoja za chochote zaidi ya mambo ya dini, tena dini moja tu, "uislam"
Ma padre hadi Quran wanasoma na mitihani wanafanya so wale wanazijua dini zote, sema kwasababu Uislam sio with wao, hutawasikia waki kashfu dini ya mwingine, wana komaa na kile wanacho kiamini
 
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI

Huyu sheikh si ndiye alikuwa analishwa maneno kwenye press yake akawa anafuatilia kama litoto lijinga hivi?
 
Hilo la ushoga linafanyikia gizani huko and hence we can't prove it, ingawa Mange Kimambi aliwahi kumtuhumu sheikh 1 mkubwa sana hapa nchini kwamba nae ni mwana chama wa hiki kitu unacho kisema hapa but again zote hizo ni tuhuma ambazo mimi binafsi siwezi kuzithibitisha, unless uwe mmoja wao maanake watenda maovu wanajuana and hence siwezi kukubishia hilo huenda nawe ni mwana chama mwenzao.
Tusitoke nje ya mstari, turudi hapa, "kuhusu elimu ya shuleni, ma sheikh ni maamuma" hawana uwezo wa kujenga hoja za chochote zaidi ya mambo ya dini, tena dini moja tu, "uislam"
Ma padre hadi Quran wanasoma na mitihani wanafanya so wale wanazijua dini zote, sema kwasababu Uislam sio with wao, hutawasikia waki kashfu dini ya mwingine, wana komaa na kile wanacho kiamini
Ma padre ni Intellectual…na mapadre hardly kuongelee dini ya kiislam .

muslims have very bad teachings against non muslims
Utasikia Kafiri haingii peponi utasemq alishawahi kuiona hiyo pepo. Yaani uka enjoy wake 70 all alone halafu wengine ni kuni za motoni just for being Muslims..🤣

Utasikia dini ya kweli ni Islam tu …. Ukimuuliza how did you Côme to that conclusion…. Atasema Quran imesema hivo….. sasa ulitaka Quran iliyoandikwa na kina Abu bakari iseme otherwise?

Uislam’umeikuta Judaism, ikaikuta Injili ya Jesus…. Most of the things from Quran ni story ambazo zilisha exist kwenye Judaism and Injili….. sasa how Côme Quran iwe ni the only true book ?
 
Mods punguzeni mada za siasa-dini ambazo zinatweza dini nyingine. Zinafarakanisha jamii yetu. Kuelekea uchaguzi mkuu ni vyema mkawa sehemu ya kujenga sio kubomoa.
Zinatezwa nini? Ujinga ni kuamini Siasa na Dini ni miti miwili tofauti, Dogo, siasa na dini ni branches of the same tree

Soma History ya dini vema ! Watawala wengi hata hapo Saudia wanatawala dini ndani ya siasa. Maana ya Siasa ni kuzingatia maslahi ya wanaotawaliwa….kwanini dini isjadili ya wanaotawalia
If it bothers you … basi wewe slave
 
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI

Hawa masheikh mnawalaumu bure tu,wengi wao shule ni zero,watawezaje kuchanganau mambo kiweledi? Zaidi sana wao ni kuweka udini mbele na kuwaabudu waarabu,they are totally hopeless people
 
Boko haram, alshabab, alqida na wenzao zote ni taasisi za kutengenezwa na makafiri ajili ya kupatia sababu za kudhuru uislam,

Uislam ni amani, ukiitaka utaipata, ila ukileta dhulma ujue haikubaliki na moto utaanzia hapo

Kwahiyo achana na taasisi yeyote iwayo ambayo haifuati sharia

Tunataka uhuri kamili, mfano mahakama ya kadhi ni kwa ajili ya waislamu, lakini nani aliipinga kwa nguvu zote? Kanisa liliipinga mpaka kutishia kwamba inchi haitatawalika, sasa hivi kanisa mambo ya waislam yanawahusu?
Ndio nikasema nyie waoga tu bwashee
Check series inayoitwa Fauda on Netflix …. Kuna vitu utqjifunza kwenye fantasy yako ya dini….: based on true events
 
Mpumbavu ni wewe usieelewa ajili ya kukumbatia udini, hata mie naweza kusema wakatoliki waote ni wapbavu kwani si mdomo tu, halafu saa hii tumewashtukia na hiyo bakwata yenu hakuna muislam sahihi anaitaka hiyo taasisi yenu,

Kwa taarifa yako sasa hivi waislamu wameshtuka na tutakula nanyi sahani moja mpaka akili ziwakae sawa

Enzi zimeisha bwashee
Msomeshe watoto kwanza ili waje kushindana kwa hoja,sio kushindana kwa kejeli na mapanga
 
Hii ni Accusations and Claim at the same time ? Unaweza kufunguliwa mashtaka ili ulete Proof dhidi ya Kauli yako?

Kudai uchaguzi wa haki na maboresho ya katiba ni kumpiga vita Samia ? How ?
Kama nilivosema kwenye Post , watu tukiongea reform ya nchi muslims mnaleta maneno ya udini…..Just because of Samia ! By the way who is Samia ndani ya Islam ….

Who is Samia by the way kwenye Ardhi ya Tanzania… ni mtu kama watu wengine na hamiliki chochote ndani ya Tanzania na Urais kwake ni Koti atalivua kama alivovua Ben , Mwinyi, JK na JPM

STOP being naïve and let see the country kwenye big picture we Mtumwa Assuwad
Muslims uwezo wao wa kufikiri huwa ni mdogo,kubali ukatatae
 
Wakatoliki hujifanya wamesoma kuliko waislamu lakini ukiwaona kuanzia maprofesa wa kikatoliki wachungaji manabii na waumini ni wajinga wajinga mazombe utafikiri mazezeta fulani, kisomo chao hakiwasaidii chochote, kanisani wababa wanachapwa fimbo mbele ya wake zao wanatiwa makofi mbele ya wake zao, chooni wanatumia toilet paper, binadamu wao wana muita mungu sanamu la mzungu wanalibusu kanisa zima halafu wanakuambia wana akili shwain, mtoto mdogo wa madrasa anakili kuliko profesa mkatoliki, matajiri wengi waislamu tanzania hii wao wsnajifanya wamesoma kazi kuomba kazi serikalini waibe ndio waisha siku mkatoliki akistaafishwa utamuonea huruma, wanaosomea madrassa pesa wanayo hawahitaji kuajiriwa, wanaishi vizuri kula vizuri, ngoja mkatoliki akupikie pilau utafikiri makande hawajui hata kula vizuri
Matajiri ni waislamu yes ila ni arabs,waislamu weusi wananuka umaskini sana,hata mikoa yenye waislamu wengi ni mikoa yenye masikini wengi.
 
Nilikaa sehemu moja kwenye mgahawa wa sheikh mmoja hivi nikasikia jamaa wanasema mbape alikosea kuhama PSG kwenda Madrid kwa makafir eti Uislam ulimlea akaondoka kwa dharau nikajiuliza hivi mtanzania anapata faida wale masheikh wa PSG au Man city kumiliki timu faida si zinaenda Arabuni huko? Basi mngejivunia tu akina MO,akina Aliko Dangote.
Eti kila kona sasa tunatawala nchi yetu upngozi ni wa kupokezana.
Waislamu weusi uwezo wa kufikiri ni mdogo ndugu
 
Hata nikikutajia unawajua?
Kwani uchumi kwako ni nini?

Nani anatukana hapa? Nani anafanya kashfa hapa?
Wacha ushamba kafiri mkubwa wewe

Unahamisha magoli kwa kutoa hoja hazina hata
hoja Huna unabaki kutukana,hiyo ni ishara Tosha kwamba uwezo wako wa kufikiri ni mdogo
 
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI

Udini upo, ukitaka kulijua hilo "chukua form ya udiwani/ubunge ugombee tena sehemu za mjini.
 
Zinatezwa nini? Ujinga ni kuamini Siasa na Dini ni miti miwili tofauti, Dogo, siasa na dini ni branches of the same tree

Soma History ya dini vema ! Watawala wengi hata hapo Saudia wanatawala dini ndani ya siasa. Maana ya Siasa ni kuzingatia maslahi ya wanaotawaliwa….kwanini dini isjadili ya wanaotawalia
If it bothers you … basi wewe slave
Bahati mbaya wewe ni mbilikimo wa Historia. Barani Afrika watu/nchi nyingi wameuana kwa ajilinya dini. Historia ni mwalimu mzuri. Nchi zetu bado changa hivyo bado hatujajenga vizuri utaifa.
 
Kwa Mfano nchi gani imeuanq kwa dini Africa?

Siku zote penye shida ya dini Muislam yupo! The only reason ni kuwa muslims are never taught to respect the opposite opinion, and strongly they are made to believe dini zote ni uongo except Islam and Islam ni dini ya tangu enzi za Adam.

Mtu kama huyu ni ngumu hata kuishi nae.Mafundisho ya Christianity and Judaism. hindusim etc yanafocus kwenye imani zao. Mafundisho ya Imani ya Kiislam yanagusa na imani za watu wengine…. Ndio maana utasikia maneno kama Makafiri, wagalatia etc etc

Part kubwa ya Islam imesimama kwa Upanga and violence ….anything that needed to harm others for its spread ….. Can’t be the truth in the eye of Lord. I can bet for Budhism , the only faith that exist with no History of bloodshed, violence, wars and coercion .

Part kubwa ya Islam imesimama kwa Upanga and violence ….anything that needed to harm others for its spread ….. Can’t be the truth in the eye of Lord. I can bet for Budhism , the only faith that exist with no History of bloodshed,

Hoja yako ni ya kijinga sana. Kwani nchi gani Africa ambazo uislamu na ukristo sio dini kuu mbili. Ni chache. Ni sawa na kusema nchi gani Africa ambayo haina watu weupe. Wakati nakubali kuwa waislamu wanamatatizo mengi na siasa zao Kali lakini Tanzania ni exception. Tanzania dini hizi zimeingiliana sana hata katika ngazi ya familia. Ndio maana wachochezi hawawezi kupata nafasi kubwa. Licha ya jitihada za baadhi ya hao unaowaunga mkono.
 
Mwalimu JK nyerere aliua jumuiya ya waislam . Akaunda BAKWATA.
BAKWATA ni tawi la CCM
Hata mufti ana t-shirt za ccm, bendera na kofia
Analindwa na TISS na nyumbani kwake kuna JWTZ wenye Mitutu ya BUNDUKI!
Kiongozi wa Dini analindwa na mitutu?
 
Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
Sio kweli, kipindi cha JPM, Maaskofu ndio waliongoza kumshauri na kumkemea, na waraka zilikuwa nyingi sana. Hapo usipotoshe.
 
Back
Top Bottom