PreGE2025 Ni kama Vita ya Kidini inazidi kupamba moto. Kuna kitu hakipo sawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI

Nilikaa sehemu moja kwenye mgahawa wa sheikh mmoja hivi nikasikia jamaa wanasema mbape alikosea kuhama PSG kwenda Madrid kwa makafir eti Uislam ulimlea akaondoka kwa dharau nikajiuliza hivi mtanzania anapata faida wale masheikh wa PSG au Man city kumiliki timu faida si zinaenda Arabuni huko? Basi mngejivunia tu akina MO,akina Aliko Dangote.
Eti kila kona sasa tunatawala nchi yetu upngozi ni wa kupokezana.
 
Ni hujuma tu, na ndio maana kighoma ali malima alivyokuja na mpango wa namba kwa watahiniwa mkamuua

Kuna mengi sana ya hovyo invhi hii wagalatia wamewafanyia waislam
Ila sasa mwisho umefika
Kigoma ali buni wapi namba za kutainiwa? Huwa hizi story mnatoaga wapi?

Kutumia namba hajabuni Malima…. Ni international standard Framework
Ni Sawa useme eletronic passport kuna mtu alibuni Tanzania……hizo ni ISO guidelines

Aiseee hizi attitude shida ni elimu dunia ?
 
Kushindwa kwako kuelewa point, na ndio maana tunasema mnabebana sana bila uadilifu,

Wacha uwongo wewe mgalatia, malima ndio alibuni ajili ya dhulma mliyokuwa mkifanya,

Mungu ana watu wake na hata sasa Mungu ana watu wake na hamtawrza kufanya lolote

Mbula, et takwa la kimataifa, shubutuuuu
 
Wakatoliki hujifanya wamesoma kuliko waislamu lakini ukiwaona kuanzia maprofesa wa kikatoliki wachungaji manabii na waumini ni wajinga wajinga mazombe utafikiri mazezeta fulani, kisomo chao hakiwasaidii chochote, kanisani wababa wanachapwa fimbo mbele ya wake zao wanatiwa makofi mbele ya wake zao, chooni wanatumia toilet paper, binadamu wao wana muita mungu sanamu la mzungu wanalibusu kanisa zima halafu wanakuambia wana akili shwain, mtoto mdogo wa madrasa anakili kuliko profesa mkatoliki, matajiri wengi waislamu tanzania hii wao wsnajifanya wamesoma kazi kuomba kazi serikalini waibe ndio waisha siku mkatoliki akistaafishwa utamuonea huruma, wanaosomea madrassa pesa wanayo hawahitaji kuajiriwa, wanaishi vizuri kula vizuri, ngoja mkatoliki akupikie pilau utafikiri makande hawajui hata kula vizuri
Mkuu umeua kabisa, uzi na ufungwe
 
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI

Hawa nao. Wanatutia aibu tu siku zote. Hapo pengine wanaelewa sana tu, sema shilingi mbili tatu zinawatoa mishipa ya roho. Na kwenye hizo shilingi mbili tatu wanazopewa, wao wanapewaga mgao wa mwisho compared to hao maaskofu. Wenzao wanapewa hela nyingi, ardhi, etc, ila still wanakuwa na misimamo. Wao wakipewa milioni kadhaa, wanatetea tu lolote huku ikiwa bado wanaishi kiduni kweli.
 
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI

Natamani wangeacha hizi drama, wanatuaibisha na kututukanisha. Kila sheikh anajitokeza kujibu jibu bila haya. Mnaharibu dini nw kuidhalilisha. Mngekaa kimya basi ijulikane hamuingilii haya, kuliko kujiongelesha ujinga.
 
Kushindwa kwako kuelewa point, na ndio maana tunasema mnabebana sana bila uadilifu,

Wacha uwongo wewe mgalatia, malima ndio alibuni ajili ya dhulma mliyokuwa mkifanya,

Mungu ana watu wake na hata sasa Mungu ana watu wake na hamtawrza kufanya lolote

Mbula, et takwa la kimataifa, shubutuuuu
Hujaelewa hata nilichoandika! Alibuni mwaka gani? Tangu miaka 1840 System za Cambridge and BritIsh Curiculum zinatumia specific code na sio names .

Ukisema alibuni yeye that means it never existed before ….. dunia kote!

Una akili wewe ? ….. hayo ni Maneno ya Msikitini mnayodanganyana

System ya kutumia namba ni adoptable mechanism ya Wizara ya elimu kama unavoona kwa sasa kila mtu ni NIDA lazima awe nayo Tanzania…. It has nothing to do na mambo ya Malima… ni story za Masjid hizo kama zile za kuwekewa Nguruwe kwenye vyakulq ili msisome…

UJINGA WA IMANI NI LAANA
HUKO MTWARA RUFIJI PEMBA UNGUJA NK vipi hadi sasa wanatumia majina kwenye NECTA? Mbona ufaulu ni duni sana Ila watoto wamehifadhi Quran hata maana yake hawajui

Kwa sasa hivi wa Islam tunawekewa hizo namba, kuna kilichobadilika?

Ukiona unaongeq mambo ya Udini kwenye Elimu ujue wewe ni MJINGA for sure
Very stupid boy, wewe ni Assuwad Huna dini…. Ni mamluki kwenye Uislam , Uislam ni wa waarabu sio wewe black skin . Ukienda Saudia watakuuliza umeanza kuwa muslim tangu lini… Bilal 🤣
 
Wakatoliki hujifanya wamesoma kuliko waislamu lakini ukiwaona kuanzia maprofesa wa kikatoliki wachungaji manabii na waumini ni wajinga wajinga mazombe utafikiri mazezeta fulani, kisomo chao hakiwasaidii chochote, kanisani wababa wanachapwa fimbo mbele ya wake zao wanatiwa makofi mbele ya wake zao, chooni wanatumia toilet paper, binadamu wao wana muita mungu sanamu la mzungu wanalibusu kanisa zima halafu wanakuambia wana akili shwain, mtoto mdogo wa madrasa anakili kuliko profesa mkatoliki, matajiri wengi waislamu tanzania hii wao wsnajifanya wamesoma kazi kuomba kazi serikalini waibe ndio waisha siku mkatoliki akistaafishwa utamuonea huruma, wanaosomea madrassa pesa wanayo hawahitaji kuajiriwa, wanaishi vizuri kula vizuri, ngoja mkatoliki akupikie pilau utafikiri makande hawajui hata kula vizuri
Afadhali ya hao TEC wanalogwa makofi na wake Zao.

Kuliko wewe shekhe msomi usiyejua kuweka paragraph.

Uandishi WAko Tu unaonyesha Una elimu ya madrassa.

Toilet paper na kuchambia Jiwe ipo Bora?
 
Hujaelewa hata nilichoandika! Alibuni mwaka gani? Tangu miaka 1840 System za Cambridge and BritIsh Curiculum zinatumia specific code na sio names .

Ukisema alibuni yeye that means it never existed before ….. dunia kote!

Una akili wewe ? ….. hayo ni Maneno ya Msikitini mnayodanganyana

System ya kutumia namba ni adoptable mechanism ya Wizara ya elimu kama unavoona kwa sasa kila mtu ni NIDA lazima awe nayo Tanzania…. It has nothing to do na mambo ya Malima… ni story za Masjid hizo kama zile za kuwekewa Nguruwe kwenye vyakulq ili msisome…

UJINGA WA IMANI NI LAANA
HUKO MTWARA RUFIJI PEMBA UNGUJA NK vipi hadi sasa wanatumia majina kwenye NECTA? Mbona ufaulu ni duni sana Ila watoto wamehifadhi Quran hata maana yake hawajui

Kwa sasa hivi wa Islam tunawekewa hizo namba, kuna kilichobadilika?

Ukiona unaongeq mambo ya Udini kwenye Elimu ujue wewe ni MJINGA for sure
Very stupid boy, wewe ni Assuwad Huna dini…. Ni mamluki kwenye Uislam , Uislam ni wa waarabu sio wewe black skin . Ukienda Saudia watakuuliza umeanza kuwa muslim tangu lini… Bilal 🤣
😸😸😹😹😹😹😹Umeupokea uislamu lini yaeee😁😁😁
 
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI

Huyu Sheikh na 4R lugha moja, Amani ina hubiriwa kwa maneno sio kwa vitendo.
 
Kuna mambo umeandika humo, kweli nimeyapenda sana; hasa kuelekea huko mwisho wa andiko lako kuhimiza umoja kati yetu na kuiweka nchi yetu kuwa juu ya jambo jingine lolote, hata hizo imani zinazotuchochea tugawanyike.

Mimi nasema hivi; kama kuna Mungu wa dini yoyote anayechukizwa na Tanzania yenye watu, wananchi waliomo ndani ya nchi hii; huyo siyo mungu ni shetani. Mungu anayeipenda nchi hii ni Mungu wa watu wote, siyo wa wakristo, na wala hawezi kuwa wa waIslam pekee.
Hawa watu wachache; na hasa viongozi wanaotuweka kwenye mafungu na kututumia kwa maslahi yao tuwakatae kwa pamoja.

Ngoja nizungumzie kidogo hilo la BAKWATA kila mara kuwa upande wa serikali; wasione kasoro yoyote ya kukemea serikali au viongozi wanaotuongoza vibaya. Hili halihitaji mtu kuwa na elimu kubwa kulitambua na kulikemea kila likijitokeza.
Ni muhimu kufahamu kuwa kuna aina ya fungate, kati ya serikali ya CCM na BAKWATA; haijalishi kiongozi mkuu wa CCM na rais awe wa dini gani. Tumeona enzi za Magufuli, na sasa wakati wa Samia.
Tofauti pekee iliyopo ni kuwa Rais akiwa ni wa dini ya Kiislam; maaskofu wakisema jambo linageuzwa kuwa sababu ni kwa vile kiongozi ni Mwislam. Wakati wa Magufuli, sikusikia hayo yakisemwa, na hata wakati wa Mkapa haikusemwa hivyo. Lakini hiyo haikuwa taarifa mpya wakati wa Mwinyi na wakati wa Kikwete. Mambo ya udini huwa yanaongezeka sana kusemwa, hasa na baadhi ya watu wa dini ya kiislam, dhidi ya maaskofu, 'specifically', na kwa ujumla wananchi wakristo na hasa wakatoliki. Haya yapo wazi kabisa.
Sijui hii ni aina ya 'defense' mechanism (kujihami) toka upande huo, au vipi.

Nirudi kwa CCM na BAKWATA, na fungate yao. Ukiangalia kwa karibu zaidi uhusiano wa hawa wawili ni kama kuna mkataba kati yao. Siku hizi ni rahisi sana kuwalaumu chama kama CHADEMA, kuwa hakina wanachama waislam wengi, na tafsiri iliyo rahisi ni kwamba chama hicho ni cha kidini. Ni kama CHADEMA wanatakiwa wawalazimishe watu kujiunga nao ili hiyo sura ya udini isiwepo.
Au kwa maana nyingine, CHADEMA wanatakiwa watoe upendeleo maalum kwa baadhi ya wanachama wao kuwavuta kuingia ndani ya chama hicho. Hili siyo jambo baya, lakini lina matatizo, ambayo ndiyo sasa yanaibuka ndani ya CCM... (ngoja hili niliache likielea kwa sasa, lakini tafsiri yake ipo wazi kwa yeyote anayetaka kujuwa).

Nimalizie kwa tahadhali: Kiongozi mkuu wa CCM na Rais wa nchi, kama Samia, anaposhindwa kujuwa hatarishi ya fungate iliyopo kati ya chama chake na washirika wake BAKWATA, na akadhani anaweza kuitumia fungate hiyoi kumbakisha madarakani kwa nguvu, maana yake ni kuwa hajui udhaifu mkubwa uliopo kwenye fungate hiyo unaoweza kuhatarisha usalama wa nchi anayo iongoza.

Sasa, nimetiririka tu, wala sikuwa na muda wa kusimama nipangilie mawazo vizuri na kuhakikisha lugha imekaa vizuri. Kama wewe msomaji utaona upungufu huo, naomba uelewe hivyo.

Tusiivuruge nchi yetu kwa sababu za kiimani za kigeni. Ombi langu siku zote, ni kuona serikali inaachana kabisa na maswala ya imani za watu. Enzi za Mwalimu sikuwahi kuona Mapadre au Maaskofu na Masheikh wakikusanywa kusalisha kwenye vikao au mikutano yoyote ya kiserikali. Haya ya siku hizi ni unafiki tu,; hakuna la ziada.
 
Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
Cheap excuse hizi unazodai, lkn pia maaskofu hawakuwahi kuacha kukemea labda wewe ndo mgeni hapa nchini. Jpm aliwanyang'anya hadi hati za kusafiria hao maaskofu.
 
1746319989277.png
 
Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
typical defense mechanism inayotumiwa kujivua sifa hiyo unayowalaumu wengine kuwa nayo
Umezaliwq lini? Au umeanza kufuatilia lini ishu za TEC na Maaskofu?
Mfano mzuri kabisa niliouzungumzia hapo juu.
 
Uzuri wa Tanzania hakuna Waislamu Siasa kali wala Wasabato Asilia 😁
Kibiti hujawahi kuisikia, mapango ya Amboni hukusikia chochote huko, na wale kule Mwanza wakati ule wewe ulikuwa unashughulikia mambo muhimu ya wachaga kama ilivyo kawaida yako.
Nilidhani utarudi ukiwa umebadilika kidogo, kumbe mambo ni yale yale..., kinusu mstari au mstari mmoja usiokuwa na mwelekeo maalum!
 
Back
Top Bottom