Ni kama watangazaji wa vipindi maarufu kwenye haya maredio wamebadilishwa!

Badala ya kuwaachisha kazi wamepewa za udereva na uhudumu wa ofisi kwakua "zimwi likujualo halikuli likakumaliza".
 
Isije kuwa wapo sehemu wanapigwa msasa ili kuwa chawa mahiri kujiandaa na uchaguzi au wameondolewa ili wasiendelee kuwa machawa wa mama.maana kitenge na Zembwela ni machawa sana wamama kumbuka DP world.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…