DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Yaani wameshindwa kupata hata diploma, na walipewa miaka nane ya kujiendeleza kielimu?.
Adam na Dozen walihamishwa kwenye kipindi cha Jahazi toka Gardner alivyofariki so now wanasikika kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa tatu usikuReally!? Mpaka kina adamu wamepigwa chini !?
Kwa hiyo kipanya,kitenge hawana vyeti vya form iv? DuhWatu tunachosahau ni kuwa diploma utaplipata vipi hauna cheti cha 4M4 ?
Ukiona MTU hana Diploma ujue tatizo cheti cha 4M4
Chumvi alipata 0 na aliingia katika media Kama mtu wa michezo.Kwa hiyo kipanya,kitenge hawana vyeti vya form iv? Duh
Hao waliotoka wanawapa nafasi nyie wenye elimu. Usikate tamaa mamaa!Vyote ninavyo 😊(elimu na kipaji) lakini ajira sina 🥲🙌
Labda hawana d 2Yaani wameshindwa kupata hata diploma, na walipewa miaka nane ya kujiendeleza kielimu?.
Watakuwa walipata udhuru wa kwenda kuchukua fomuKuna nini. Maana Jahazi nasikia sauti za watangazaji mpya.
Nikienda Wasafi nako watangazaji maarufu siwasikii tena!!
Nini kinaendelea maana maredio haya makubwa watangazaji maarufu siwasikii tena...
Wapi Mchomvu, wapi Kipanya, wapi Masanja, Zembwela nk
Sijakataa tamaa kabisa, naendelea kupambana 😊🙏Hao waliotoka wanawapa nafasi nyie wenye elimu. Usikate tamaa mamaa!
Nina mashaka nae!! Maana sio kwa zile hasira aisee!!Huyu si mhanga huko redioni!
Huyu atakuwa ni Zembwela au maulid kitenge sio Bure🤣🤣🤣🤣🤣Hahahaa sonona itakuua wewe. Yaani umetoka ulikotoka kuja kupovuka kwenye sledi ya mwanaume. Utapakwa Vaseline au futa la nazi zito.
Watu tunachosahau ni kuwa diploma utaplipata vipi hauna cheti cha 4M4 ?
Ukiona MTU hana Diploma ujue tatizo cheti cha 4M4
Hapa tanzia Elimu ya chuo ni rahis Ila mchawi form four kukipata kile cheti
Serkl hairuhusuOnline courses unapata cheti bila hyo certificate ya Form 4
Wameachwa toka mwaka 2016, ni miaka 9 sasa imepita hata mtu wa lasaba angekua kamaliza hiyo Diploma kitambo.Sijapenda huu utaratibu mpya wa bodi ya ithibati, wangeacha tu waandishi wafanye kazi huku wakijiendeleza kupata sifa wanazotaka