Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine alimaanisha mwani. Unajua "u" na "i" kwenye keyboard zipo karibu.Kazi yangu mkuu itakusaidia nn?
AnhaaPengine alimaanisha mwani. Unajua "u" na "i" kwenye keyboard zipo karibu.
Mwani Ina kazi nyingi sana. Ni raw material kwa makampuni yanayotengeneza virutubisho na yale yanayotengeza vipodozi. Mwani unatengeza scrubs n some lotions na powder.Mkuu,hivi una kazi Gani specific?
Ooh safi sana,je nikitaka Kwa level tu ya matumizi binafsi unapatikana wapi?Anhaa
Mwani Ina kazi nyingi sana. Ni raw material kwa makampuni yanayotengeneza virutubisho na yale yanayotengeza vipodozi. Mwani unatengeza scrubs n some lotions na powder.
Kuna nchi mwani ni supu. Wanachemsha na kula. Lakini pia Ina madini nyingi sana.. inashauriwa kula endapo kama unaishi mazingira ambayo samaki wa bahari hawafiki kwani mwani Ina madini joto, chuma na mengineyo.
Wat wenye mimba wanashauriwa kula huu kuepusha kuzaa watoto wenye borne deformations kama matege na rickets. Pia watu wazima kula, ili kuepukana na rovu au goita kwani HISTORIA inaonyesha pia, fact, ni maeneo yaliyo mbali na bahari watu wake wako kwenye risk ya kupata magonjwa hayo.
Mwaka 1948 mikoa ya nyanda za juu kusini, watu Kijiji kizima walivimba shingo (goitre) na hii ilishauriwa kutumika kwani circle ya samaki bahari kufika kule ni mtihani.
Inaitwa sea moss au sea weedAlaaaa kumbe!basi sawa,je jina lake la kuzungu ni Nini au kibiologia?
Hiki ni kilimo common sana Zanzibar vijijini. Bara Kuna watu washayatoa kwenye hali ya ughafi na kupakia kwenye packages. Kilo nadhani ni 30000 net. Sijajua nani anauza ila ukijua namna ya kuundaa na utakuwa na tokeo gani nitakuletea kilo kama nne hiv mana narudi dsm soonOoh safi sana,je nikitaka Kwa level tu ya matumizi binafsi unapatikana wapi?
Unaniletea Kwa sh ngapi au zawadi 😔?Hiki ni kilimo common sana Zanzibar vijijini. Bara Kuna watu washayatoa kwenye hali ya ughafi na kupakia kwenye packages. Kilo nadhani ni 30000 net. Sijajua nani anauza ila ukijua namna ya kuundaa na utakuwa na tokeo gani nitakuletea kilo kama nne hiv mana narudi dsm soon
Sawa ,ngoja nisome kiundaniInaitwa sea moss au sea weed
Unaniletea Kwa sh ngapi au zawadi 😔?
Umeona mkuu hadi mmefika huku. Wakati mwingine usiwe mwepesi kufikiri negative. 😂Nitakuletea kama zawadi tu
Ndio mkuu upo hapa matemwe wa kutosha tena ule wildSeaweed?
Oooh thank u😍Nitakuletea kama zawadi tu
😁😁😁Umeona mkuu hadi mmefika huku. Wakati mwingine usiwe mwepesi kufikiri negative. 😂
Utaniachia address pm mana nahis ndani ya siku nne hiz nitakuwa darNi kweli kabisa, sitokuangusha mywangu