Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ms R!UCHAWA
UmbeaAsalam walekum,
Najiuliza hivi ni kwenye angle ipi ya maendeleo tumefanya vizuri sana kama nchi? Africa tunaongozwa na mwamba South Africa na nchi za Waarabu.
Mfano:
Ethiopia wana strongest airline.
Seychelles and SA: best education system
SA, Botswana, Namibia, Morocco: Road infrastructure.
Afya: SA, na nchi za waarabu.
Je, tuendelee kuwa wanyonge? La, hasha! Tunaweza.
Asalam walekum,

Tumefanya vizuri sana sana kwenye kumsifu mama Samia.Asalam walekum,
Najiuliza hivi ni kwenye angle ipi ya maendeleo tumefanya vizuri sana kama nchi? Africa tunaongozwa na mwamba South Africa na nchi za Waarabu.
Mfano:
Ethiopia wana strongest airline.
Seychelles and SA: best education system
SA, Botswana, Namibia, Morocco: Road infrastructure.
Afya: SA, na nchi za waarabu.
Je, tuendelee kuwa wanyonge? La, hasha! Tunaweza.
Kuwepo kwa Utitiri mkubwa wa nyumba za ibada ni dalili na Uthibitisho mojawapo kwamba kwenye hiyo nchi kuna janga kubwa sana la kushindwa na kuanguka kabisa kwa mifumo yote ya kiutawala wa nchi (the total failure of all the Government Machinery), pamoja na kushindwa na kuanguka kabisa kwa mfumo wa Elimu katika nchi husika. Watu baada ya kushindwa kupanga na/au kuendesha maisha yao kwa kutumia akili na Elimu zao vizuri badala yake sasa wanategemea bahati nasibu, 'kudra za Mungu' na Miujiza.Kwenye sekta ya dini. Kila baada mitaa miwili lazima ukute kanisa. Lakini kwingine kote ni uozo mtupu
Yes sir
Ni kweli mkuu hata ukifanya tafiti maeneo yenye wakaaji wengi walioshiba itikadi ya dini ndio yenye kiwango kikubwa cha ujinga na umasikini, unakuta waamuni wamefanya harambee ya kujenga kanisa mpaka wamefanikiwa halafu siku ya ibada wanaenda hapo kanisani kumuomba Mungu awawezeshe watoto wao kupata ajira wakati izo pesa walizotumia kujenga kanisa wangeanzisha kiwanda au mradi wa uzalishaji zingepatikana ajira nyingi tu.Kuwepo kwa Utitiri mkubwa wa nyumba za ibada ni dalili na Uthibitisho mojawapo kwamba kwenye hiyo nchi kuna janga kubwa sana la kushindwa na kuanguka kabisa kwa mifumo yote ya kiutawala wa nchi (the total failure of all the Government Machinery), pamoja na kushindwa na kuanguka kabisa kwa mfumo wa Elimu katika nchi husika. Watu baada ya kushindwa kupanga na/au kuendesha maisha yao kwa kutumia akili na Elimu zao vizuri badala yake sasa wanategemea bahati nasibu, 'kudra za Mungu' na Miujiza.
China wanatafuta ukubwa, kupitia manufacturing industries, wanahakikisha wanaweza kutngeneza chochote duniani,Asalam walekum,
Najiuliza hivi ni kwenye angle ipi ya maendeleo tumefanya vizuri sana kama nchi? Africa tunaongozwa na mwamba South Africa na nchi za Waarabu.
Mfano:
Ethiopia wana strongest airline.
Seychelles and SA: best education system
SA, Botswana, Namibia, Morocco: Road infrastructure.
Afya: SA, na nchi za waarabu.
Je, tuendelee kuwa wanyonge? La, hasha! Tunaweza.
Nikusahihishe kidogo mkuu. Ethiopia si nchi ya Kiarabu, ni kama sisi Tanzania tuko kundi moja hata kama shirika lake la ndege lina fanya vizuri.Asalam walekum,
Najiuliza hivi ni kwenye angle ipi ya maendeleo tumefanya vizuri sana kama nchi? Africa tunaongozwa na mwamba South Africa na nchi za Waarabu.
Mfano:
Ethiopia wana strongest airline.
Seychelles and SA: best education system
SA, Botswana, Namibia, Morocco: Road infrastructure.
Afya: SA, na nchi za waarabu.
Je, tuendelee kuwa wanyonge? La, hasha! Tunaweza.
Najua mkuu. Hata Botswana siyo nchi ya waarabu. Tanzania tumefanya vizuri wapi?Nikusahihishe kidogo mkuu. Ethiopia si nchi ya Kiarabu, ni kama sisi Tanzania tuko kundi moja hata kama shirika lake la ndege lina fanya vizuri.
If so, together we stand. No ill feelings bro.Najua mkuu. Hata Botswana siyo nchi ya waarabu. Tanzania tumefanya vizuri wapi?
Tatizo hata hao wenye mawazo ya kujenga wakilambishwa asali wanabadilika case study nzuri ni Hamphrey PolepoleHivi kweli rais au mpambe wake anaona haya majibu? Majibu yanafikirisha sana. Wote waliopo jamii forum wana sifa ya kuwa wabunge na ndiyo safari ya kufika cheo cha uwaziri na vyeo vinginevyo serikalini.
Kwa muktadha huo, nachukulia haya ni maoni ya wasomi.
Kwa maana hiyo wanasikitishwa na spidi au mipango yetu katika maendeleo.