Ni katika maeneo gani watanzania tuna deni na Mama - Miradi aliyoacha mtangulizi wake imeendelea vizuri!

Ni katika maeneo gani watanzania tuna deni na Mama - Miradi aliyoacha mtangulizi wake imeendelea vizuri!

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
2,091
Reaction score
1,918
Salaam team!
Nimezunguka sehemu kubwa ya nchi yetu baada ya kifo cha hayati John Pombe Joseph Magufuli.

Kwa ujumla nimekuta, nimeona Miradi mingi imetekelezwa, au inaendelea kutekelezwa.

Mitano mingine inamfaa.
 
Kisesa bado wana deni na ni shime wasikilizwe na wasibezwe kwani ombi sio tusi,

ila sisi wengine Oktoba mapema tu tunatiki✅ tutafanyeje sasa maana wawakilishi wetu wamesema hatuna deni😭
 
Salaam team!
Nimezunguka sehemu kubwa ya nchi yetu baada ya kifo cha hayati John Pombe Joseph Magufuli.

Kwa ujumla nimekuta, nimeona Miradi mingi imetekelezwa, au inaendelea kutekelezwa.

Mitano mingine inamfaa.
oktoba ni kutiki tu,Miradi Mungu imekamilika,hasa huku Kanda ya ziwa..Mama Mitano tena
 
Huyu mama yenu kwenye kuthibiti Rushwa na ubadhilifu wa fedha za Umma ndiyo Ameshindwa kabisa, bora Magufuli pamoja na madhaifu na mapungufu yake mengi lakini kwenye rushwa na nidhamu kwa watumishi serikalini tumpe maua yake,
Samia Kemea rushwa kama vile unavyowazodoa wanaokupinga kama gwajima na Mpina
Kwenye Halmashauri kuna Uozo hatari sana, wanakusifia lakini hao hao ni wezi wakubwa
 
Salaam team!
Nimezunguka sehemu kubwa ya nchi yetu baada ya kifo cha hayati John Pombe Joseph Magufuli.

Kwa ujumla nimekuta, nimeona Miradi mingi imetekelezwa, au inaendelea kutekelezwa.

Mitano mingine inamfaa.
Jamani si juzi mbunge Mpina amesema hadharani wanamdai!! Hukusikia au umesahau?
 
Back
Top Bottom