Huyu mama yenu kwenye kuthibiti Rushwa na ubadhilifu wa fedha za Umma ndiyo Ameshindwa kabisa, bora Magufuli pamoja na madhaifu na mapungufu yake mengi lakini kwenye rushwa na nidhamu kwa watumishi serikalini tumpe maua yake,
Samia Kemea rushwa kama vile unavyowazodoa wanaokupinga kama gwajima na Mpina
Kwenye Halmashauri kuna Uozo hatari sana, wanakusifia lakini hao hao ni wezi wakubwa