Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,950
- 9,511
Je, ni kauli gani uliyotamka ndani ya familia ikaleta taharuki na hamaki ambayo hadi leo unajutia na kuomba siku au wakati urudi nyuma uweze kuifuta kama siyo kuirekebisha?
Kwa upande wangu kuna siku nilishikwa na hasira nikamwambia mwanamke aandae vitu vyake maana nitamfukuza ila nikamsamehe. Hadi leo mwanamke akifanya kosa nikijaribu kuwa mkali tu ananikumbusha "Vipi niandae vitu utanifukuza?" Nikiwa mkali utasikia hii kauli "Kwetu sijaua." Daaaah!
Siku nyingine baada ya kuamshwa kula chakula nikatoka na bukta chumbani kuja sebuleni, kumbe shem yupo bila kufahamu, kufunua pazia na dushe limesimama la usingizini aisee!