Ni kauli au neno gani ulilotamka ndani ya familia hadi leo unajutia?

Ni kauli au neno gani ulilotamka ndani ya familia hadi leo unajutia?

Huyo mwanamke ameshakudharau mpaka anadiriki kukutolea kauli za kishenzi kama hizo..
Huwa najifariji kuwa wanawake wote mwalim wao ni mmoja na aliishakufa, hawawezi kuelewa kirahisi hapo alipo yeye ni watatu ndani ya miaka 3.

Napumzika kidogo
 
"usijar mshua we msomeshe mwanao mimi niache tu naomba mungu anipe afya njema hivi hivi"

nilimwambiaga mshua baada ya kupishana kauli adi leo nahisi inamuumiza sana hii kauli hasa kira ninacho fanya sjawai kumuomba msaada wala kumshirikisha kwa lolote japo yeye huwa ananiambiaga hatua zake[emoji37][emoji37][emoji37]
Wewe Jamaa unaonekana mtata sana yaani mno 😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom