Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,950
- 9,511
- Thread starter
- #21
Huwa najifariji kuwa wanawake wote mwalim wao ni mmoja na aliishakufa, hawawezi kuelewa kirahisi hapo alipo yeye ni watatu ndani ya miaka 3.Huyo mwanamke ameshakudharau mpaka anadiriki kukutolea kauli za kishenzi kama hizo..
Napumzika kidogo