Shemeji wa kike yaani daahUlifanya kosa kubwa sana kusamehe. Ilibidi umuache aende hata kwa siku moja halafu ndio usamehe.
Na siku mkizinguana tena akakuuliza aondoke mwambie tena sasa hivi. Maana keshakuona joka la kibisa.
Huyo shemeji aliyeona dushe ni wa kike au wa kiume? Kama wa kiume ndio iwe fundisho kukaa kaa kwa mashemeji ila kama wa kike kutokana na reaction yake inaweza ikawa akiba ya kula kimasihara siku nyingine.
Mimi niliwaambia nahamia Burundi.Je ni kauli gani uliyotamka ndani ya familia ikaleta taharuki na hamaki ambayo hadi leo unajutia na kuomba siku au wakati urudi nyuma uweze kuifuta kama siyo ku-edit...
Kwa upande wangu kuna siku nilishikwa na hasira nikamwambia mwanamke aandae vitu vyake maana nitamfukuza ila nikamsamehe,
Hadi leo mwanamke akifanya kosa nikijaribu kuwa mkali tu ananikumbusha "vipi niandae vitu, utanifukuza"?
Nikiwa mkali utasikia hii kauli -"kwetu sijaua"..
Daaaah..!
Siku nyingine baada ya kuamshwa kula chakula nikatoka na bukta chumbani kuja sebuleni kumbe shem yupo bila kufahamu, kufunua pazia na dushe limesimama la usingizini aisee....
Mfukuze siku moja ndio atatia akili. Kashakuona nyuki wa machine πππJe ni kauli gani uliyotamka ndani ya familia ikaleta taharuki na hamaki ambayo hadi leo unajutia na kuomba siku au wakati urudi nyuma uweze kuifuta kama siyo ku-edit...
Kwa upande wangu kuna siku nilishikwa na hasira nikamwambia mwanamke aandae vitu vyake maana nitamfukuza ila nikamsamehe,
Hadi leo mwanamke akifanya kosa nikijaribu kuwa mkali tu ananikumbusha "vipi niandae vitu, utanifukuza"?
Nikiwa mkali utasikia hii kauli -"kwetu sijaua"..
Daaaah..!
Siku nyingine baada ya kuamshwa kula chakula nikatoka na bukta chumbani kuja sebuleni kumbe shem yupo bila kufahamu, kufunua pazia na dushe limesimama la usingizini aisee....
Alitishia kuondoka na watoto nikamjibu nenda muda huo saa 3 usiku. Akafungasha mabegi na kuyatoa nje namtazama tu. Nikamsikia anapiga simu kuita bajaj, mara mbona hufiki tu mda unazidi kwenda.. nikazima tv nkaingia kulala, nmekuja kustuka saa saba usiku ikabidi nikaangalie kama alifunga milango wakati anaondoka. Hee! nakuta mabegi yapo nje palepale nikayaingiza ndani ndo namkuta amelala usingiz chumba cha watoto. Kimoyo moyo nikasema shenziiii.Duuh nahofia anaweza kupitilizia huko huko, moja kwa moja nikala hasara na alivyonona..!..[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Ngoja nimzalishe zalishe kwanza
Chochote unapewa? Unamaanisha nini?[emoji2960]Labda ila sina uhakika maana chochote nikitaka napewa...
Sema Kuna muda kuna kujisahau unapotezea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38]Ulifanya kosa kubwa sana kusamehe. Ilibidi umuache aende hata kwa siku moja halafu ndio usamehe.
Na siku mkizinguana tena akakuuliza aondoke mwambie tena sasa hivi. Maana keshakuona joka la kibisa.
Huyo shemeji aliyeona dushe ni wa kike au wa kiume? Kama wa kiume ndio iwe fundisho kukaa kaa kwa mashemeji ila kama wa kike kutokana na reaction yake inaweza ikawa akiba ya kula kimasihara siku nyingine.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Duuh nahofia anaweza kupitilizia huko huko, moja kwa moja nikala hasara na alivyonona..!..[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Ngoja nimzalishe zalishe kwanza