🤣🤣🤣eeh hana chuki na binadamu wenzake wote anatupendaMimi nilimuuliza kama ananipenda kweli akaniambia yeye hana chuki na mtu.
😂 na ulikuwa unalala nayo?Nilimuomba mbususu akanijibu, Nitazoea vibaya 😥😂
😂 bora tiki mbili za bluu kuliko hilo jibu.Nakumbuka nilimwamnia nakupenda akajibu,wacha weee
Huyo itakuwa alikuwa mgonjwa anataka dawa maana utu uzima dawa.Alisema kanikubalia kwasababu mi mtu mzima
Ndio eeh 😅🤣🤣🤣🤣🤣
Si ndio!
Aaah nakupenda pia imekaaga kinafiki🤣🤣Ndio eeh 😅
Tujitahidi sana tuwe kwenye upande wa nakupenda pia vinginevyo ni maumivu.
🤣🤣🤣🤣🤣 mwenyekiti alikustukia. Alijua kifuatacho itv ni gas kuisha, jino kung'oka, umeme kuisha, nkNiliandika meseji ndefu ya kueleza hisia zangu na jinsi nnavyompenda kwa dhati akajibu "punguza siasa"
Mbona jibu zuri au unataka Kula mvua 30.Alisema nisubiri amalize shule, kila nimimtafuta hapokei simu
🤣🤣🤣🤣 hamna yalikua ni mapenzi ya dhati kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu.🤣🤣🤣🤣🤣 mwenyekiti alikustukia. Alijua kifuatacho itv ni gas kuisha, jino kung'oka, umeme kuisha, nk
😆Alisema kanikubalia kwasababu mi mtu mzima
HahahaMimi nilimuuliza kama ananipenda kweli akaniambia yeye hana chuki na mtu.