Ni kauli gani aliisema ukajua kabisa hakupendi?

Ni kauli gani aliisema ukajua kabisa hakupendi?

downloadfile.jpg
 
Aliniambia saiv ametulia na mimi ana amani kabisa, maana vijana watanashati hawaaminik washamuumiza sana nikajisemea moyoni mwangu kheee!
Kwamba wewe alikua anakuona ni mporipori wa kutoka huko meatu ndani ndani?
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Ila kuna watu wana dharau aisee yaani limtu linaonesha kukuelewa nikatupia nyavu pale
"Nakupenda" likasema asante

nikamuambiaaa sema kitu basi roho itulie likajibu "Hautaniwezaa kabisaaaaa" kweli ngoja nikazane kutafuta hela tu aisee hamna siku nilijisikia vibaya kama hiyo siku aisee ...
Yes! Hapa kweli tatizo ni ukosefu wa pesa, tafuta helaaa narudia tena hizo PESA zisake sanaaa
 
Sio siri ni kitu kibaya Sana kuachwa kwa kejeli na dharau tu kisa hauna PESA daaahh😭😭
Yule hajielewiiii badoo yaani nakatongoza kanajitetea visingizio vya ajabu sanaaa "mara kanasema kana tabia mbaya mara nini" mara nini

khaaaaa aisee nikakata tamaa nikamuambia me sitokutongoza tena bwana akanibloku kabisaaa saivi naona anapost vijembe kwangu huko mitandaoni mara ooh alikununia akiwa wapi
over... .......
 
Kuna siku tulitofautiana, nikawa nalia akaniambia usije ukaniletea uchuro kwa machozi yako. Ikabidi nimwage manyanga
 
Back
Top Bottom