Ni kauli gani aliisema ukajua kabisa hakupendi?

Aliniambia saiv ametulia na mimi ana amani kabisa, maana vijana watanashati hawaaminik washamuumiza sana nikajisemea moyoni mwangu kheee!
Kwamba wewe alikua anakuona ni mporipori wa kutoka huko meatu ndani ndani?
 
Reactions: EEX
Yes! Hapa kweli tatizo ni ukosefu wa pesa, tafuta helaaa narudia tena hizo PESA zisake sanaaa
 
Sio siri ni kitu kibaya Sana kuachwa kwa kejeli na dharau tu kisa hauna PESA daaahh😭😭
Yule hajielewiiii badoo yaani nakatongoza kanajitetea visingizio vya ajabu sanaaa "mara kanasema kana tabia mbaya mara nini" mara nini

khaaaaa aisee nikakata tamaa nikamuambia me sitokutongoza tena bwana akanibloku kabisaaa saivi naona anapost vijembe kwangu huko mitandaoni mara ooh alikununia akiwa wapi
over... .......
 
Kuna siku tulitofautiana, nikawa nalia akaniambia usije ukaniletea uchuro kwa machozi yako. Ikabidi nimwage manyanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…