Ni kawaida binti wa miaka 13 kuvunja ungo?

Ni kawaida binti wa miaka 13 kuvunja ungo?

89357763_3461700717178651_8616117253802295296_n.jpg
Sasa mbona nyungo zenyewe hazijavunjika nilitegemea nione uliovunjika ili nipate maana halisi ya kuvunja ungo
 
Hivi Mkuu mleta mada angekuwa ni Kaka yako (kitu ambacho labda kweli huyu ni Bro kwako) ndio kakuuliza ungemjibu hivi kweli?
Kuna wakati mkuu unaweza ukamtafakari mtu na usipate majibu

Kikubwa binadamu hatufanani uelewa mkuu hata mm sijapendezwa na namna alivyojibu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa miaka 13 mbona kachelewa ? .. kwa kawaida wanawake huvunja ungo kuanzia miaka 9 na wanaume ni miaka 11 ..
 
Muombee sana, vitoto vya siku hizi vinaanza mtekenyo mapema sana
Habarini!

Huu ni mwaka wa 13 wa kuzaliwa binti yangu na yupo darasa la sita sasa. Jana mama yake ananivujishia siri kuwa mtoto amekuwa (amevunja ungo). Wadau, ni kawaida kwa binti wa miaka 13 kuvunja ungo au hii ni abnormality?!! Nilitarajia kuanzia 15 huko na kuendelea. Uzoefu wenu tafadhali....
 
Tayari ni mkubwa huyo
 
Huo ungo alikuwa kaukalia au kaweka vitu vizito hadi ukavunjika?

Jokes aside, ni kawaida na inaweza tokea kabla hata ya hapo...

Kuna mwaka nilisoma habari ya binti wa miaka 12 kupewa ujauzito, hivyo ni muda sasa wa kumlinda mwanenu...
shukrani
 
Back
Top Bottom