Ni kawaida binti wa miaka 13 kuvunja ungo?

Ni kawaida binti wa miaka 13 kuvunja ungo?

Ni kawaida kabisa hasa kwa mabinti wenye miili mikubwa, binti yangu alivunja ungo akiwa na miaka 11 darasa la tano. Huu ndo muda wa kuongea nae kweli kweli tena kwa kutumia mafundisho ya dini. Kama ni mkristo mwambie mwili wake ni hekaalu la Roho Mtakatifu. Pia tumia maandiko kutoka 1Wakorinto 6: 18-20.
Hakikisha anamuogopa Mungu kuliko anavyowaogopa nyie wazazi
Nakutakia kila la heri mkuu
 
Hongera mkuu kwa hilo, sifa zote ziende kwa Awamu ya 6[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Udogoni nilikuwa nikisikia hili la kuvunja ungo wamama wakiongea nilikuwa nashangaa sana kwanini sasa wanauvunja ungo? Wanauvunja ungo ili iweje? 😂😂😂😂😂


89357763_3461700717178651_8616117253802295296_n.jpg
 
Habarini!

Huu ni mwaka wa 13 wa kuzaliwa binti yangu na yupo darasa la sita sasa. Jana mama yake ananivujishia siri kuwa mtoto amekuwa (amevunja ungo). Wadau, ni kawaida kwa binti wa miaka 13 kuvunja ungo au hii ni abnormality?!! Nilitarajia kuanzia 15 huko na kuendelea. Uzoefu wenu tafadhali....
Anza kuweka ulinzi mzee kuanzia wa kijinsia kwake, aijue dunia na ubaya wake mkalishe chini kupitia mkeo mapema laa sivyo wahuni watampitia kimasihara. Vzr umetambua naamini utamudu kumjenga na kumuepusha mambo mabaya kwa sasa
 
Habarini!

Huu ni mwaka wa 13 wa kuzaliwa binti yangu na yupo darasa la sita sasa.

Jana mama yake ananivujishia siri kuwa mtoto amekuwa (amevunja ungo).

Wadau, ni kawaida kwa binti wa miaka 13 kuvunja ungo au hii ni abnormality?!! Nilitarajia kuanzia 15 huko na kuendelea.

Uzoefu wenu tafadhali....
Hongera mkuu.
Kwa kukuza.
 
Hahahahaha mko busy na michezo ya kitoto lakini masikio yako busy kuwasikiliza wamama 🤣🤣
Umekulia wapi huko unasikia wamama wakiongea kuvunja ungo?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom