Ni kawaida binti wa miaka 13 kuvunja ungo?

Ni kawaida binti wa miaka 13 kuvunja ungo?

Huo ungo alikuwa kaukalia au kaweka vitu vizito hadi ukavunjika?

Jokes aside, ni kawaida na inaweza tokea kabla hata ya hapo...

Kuna mwaka nilisoma habari ya binti wa miaka 12 kupewa ujauzito, hivyo ni muda sasa wa kumlinda mwanenu...
Maombi na kudra za Mwenyezi Mungu..hawa wa kileo ngumu sana kuwalinda
 
89357763_3461700717178651_8616117253802295296_n.jpg
Hahaha[emoji23] Ila hizi hazijavunjika bado
 
Namuonea huruma wahuni watammezesha p2 hadi akomae.Mwenyezi mungu amkuze vyema kaka.
 
Habarini!

Huu ni mwaka wa 13 wa kuzaliwa binti yangu na yupo darasa la sita sasa. Jana mama yake ananivujishia siri kuwa mtoto amekuwa (amevunja ungo). Wadau, ni kawaida kwa binti wa miaka 13 kuvunja ungo au hii ni abnormality?!! Nilitarajia kuanzia 15 huko na kuendelea. Uzoefu wenu tafadhali....
Kawaida ni kuanzia miaka 9. Hiyo ni kawaida chief!! Watoto wa kike wanakuwa mapema.
 
Back
Top Bottom