Haushangai why huwa hatuna muda wa kulaumu kwanini mnatufunga? Mjue kuwa tushajua mbinu zenu za kishirikina...za kuingia milango isiyoruhusiwa..kuhonga wachezaji ikiwemo hao mlionao huko kutoka Simba..n.k tunajua kuna siku yenu tutawachabanga mpk mpoteane....
Litimu lako lina udhamini wa timu 8 wote wakikutana wanajiachia...
Matokeo yake mmeyapata huko CAF..mlivyofurushwa na kushika mkia wa group mpk mje mshike namba 2 kutoka mwisho kwa mbindeee....
Yani kweli nyie ndo wa kutufunga majayanti wa soka tunaowaliza waarabu na wababe kibao wa soka tuliokuwepo kwny top ten CAF useme hakuna hujuma hapo na uchawi?
Yani nyie shukuruni tuu nje ya kiwanja mnatuwin ila sio kwa uwezo wenu ndani ya dimba la Benjamin Mkapa ambalo mnyama hajawahi shindwa..
Hautaki Andamana