Ni kawaida Matola kuwakazia Simba SC akiwa na Timu nyingine, ila siyo kwa Mnafiki na Mnazi Kally kuwakazia waliotupwa CAFCL

Ni kawaida Matola kuwakazia Simba SC akiwa na Timu nyingine, ila siyo kwa Mnafiki na Mnazi Kally kuwakazia waliotupwa CAFCL

Haushangai why huwa hatuna muda wa kulaumu kwanini mnatufunga? Mjue kuwa tushajua mbinu zenu za kishirikina...za kuingia milango isiyoruhusiwa..kuhonga wachezaji ikiwemo hao mlionao huko kutoka Simba..n.k tunajua kuna siku yenu tutawachabanga mpk mpoteane....

Litimu lako lina udhamini wa timu 8 wote wakikutana wanajiachia...
Matokeo yake mmeyapata huko CAF..mlivyofurushwa na kushika mkia wa group mpk mje mshike namba 2 kutoka mwisho kwa mbindeee....
Yani kweli nyie ndo wa kutufunga majayanti wa soka tunaowaliza waarabu na wababe kibao wa soka tuliokuwepo kwny top ten CAF useme hakuna hujuma hapo na uchawi?
Yani nyie shukuruni tuu nje ya kiwanja mnatuwin ila sio kwa uwezo wenu ndani ya dimba la Benjamin Mkapa ambalo mnyama hajawahi shindwa..
Hautaki Andamana
Dada kwa masikitiko makubwa nawasiwasi na afya ya akili yako kutetereka. Uan wewe leo uje ulinganishe group stage ya Confederation na CL haya akili yako imegoma kuona tofauti?
 
Back
Top Bottom