Ni kawaida Serikali kuwasaidia wananchi wake hali ya maisha inapokuwa ngumu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1658703819259.png

Katika hii picha ni mabox ya Gumment Cheese yaliyogaiwa na serikali za Magharibi kwa wananfunzi ili wapeleke nyumbani kwao.

Hii ilitokea baada ya WWII, hali ya uchumi ilikua ngumu sana. Pamoja na cheese pia wananchi wapigaiwa peanut butter, na nyama za makopo.

Misaada hii ililegwa kwa familia duni na watoto wao waligaiwa mashuleni.
 
Nchi TajIRI HIZI NI MMABO ZA KAWAIDa kabisa.. JUZi TU HaPa KipiNDI cHa COvid CrisiS, nCHI ZA ULAYA NA AMERICA WALikUJA Na reLIEF PAckAGE KWA jILI YA KUSaiDIa LOWER INCOME FAMILIes ambapo naFIKIRI KWA america KIla famIly iliPATA CHEQUE YA USD 1,000... ni kawaida, hizi ki uchumi ni fiscal programmes
 
Kagame pia alitoa chakula kwa kila familia wakati wa lock down. Kila familia ilipata maharage, mchele, sukari na mafuta ya kupikia.
 
hata uganda walifanya hivo.. lakini kwa nchi masikini kama za kiafrika inakuwaga ni geresha tu maana serikali za kiafrika hazina muscles za kufanya hizi programmes.

Nchi za ulaya na amerika wana mifumo ya uchumi ambayo ina uwezo wa kukabiliana na disaster za kiuchumi kwa kiasi kikubwa sana na wanauwezo wa kuendesha hizi programmes kwa muda mrefu zaidi...
 
Kwa Tanzania warahisishe tu bank loan isiwe na milolongo ya urefu wa ajabu madhari mtu anadhamana apatiwe tu pesa within 48hrs,baada ya dhamana yake kuhakikiwa, na apatiwe robo ya quick market value ya dhamana.
unajua dhamana sio kigezo cha mtu kukopeshwa na benki? kwa sababu kinacholipa mkopo sio dhamana ni cash flow... ukitaka kukoposheka kirahisi na benki.

Unatakiwa uwe na biashara nzuri yenye cash flow yaani biashara inayotengeneza pesa halafu sasa hapo ukiwa na dhamana nzuri kama nyumba, utakuwa unakopa kirahisi sana benki.

watanzania wengi wanadhani ukiwa na dhamana peke yake inatosha.. hapana mkuu dhamani is nothing without good business that generate cash flow.
 
Kwa Tanzania warahisishe tu bank loan isiwe na milolongo ya urefu wa ajabu madhari mtu anadhamana apatiwe tu pesa within 48hrs,baada ya dhamana yake kuhakikiwa, na apatiwe robo ya quick market value ya dhamana.
Vimikopo kama hivyo sio kazi ya taasisi kubwa kama benki ...
Muda si mrefu zitaiibuka kampuni za kukopesha kwa kutumia dhamana..
Zinaiitwa Pawn Brokers au Payday loan
Lakini hiyo riba yake ni ya kufa mtu......
 
unajua dhamana sio kigezo cha mtu kukopeshwa na benki? kwa sababu kinacholipa mkopo sio dhamana ni cash flow... ukitaka kukoposheka kirahisi na benki...
Watanzania wengi wanabiashara zao vichwani na mambo ya business records huwa ni issue ngumu kuwa na good proper records, watoe at a risk of strong commitments za mtaka mkopo
 
ndo akina papaa msofe walikuwa wanachukua nyumba za watu kwa style kama hii... mtu kama huna biashara ya kueleweka ambayo inaingiza pesa probability ya ku default ni kubwa sana.

So hawa watu wanachofanya unakuta market value ya nyumba wamaipigia hesabu kama milioni 150 sasa wewe watakuambia unaweza pata mkopo wa milioni 50 chap, lakini wanajua kabisa hiyo hela huwezi kulipa kwa sababu hauna biashara inayoingiza pesa. Mwisho wa siku una default, watu wanachukua nyumba.

Michezo hiyo wamefanya matajiri wengi sana, washawhili wa maeneo ya magomeni wamechukuliwa nyumba zao kwa style hiyo na watoto wa mjini.
 
Vimikopo kama hivyo sio kazi ya taasisi kubwa kama benki ...
Muda si mrefu zitaiibuka kampuni za kukopesha kwa kutumia dhamana..
Zinaiitwa Pawn Brokers au Payday loan
Lakini hiyo riba yake ni ya kufa mtu......
Lakini zinapaswa kuwa regulated juu ya mfumo wao wa riba!, Kupanga riba kunatakiwa kuwa regulated na BOT, kwa nchi nzima na kukubaliana na matakwa haya kwa kampuni binafsi.

Bank ingependeza endapo wangekuwa na options hii miongoni mwa huduma zao.
 
Watanzania wengi wanabiashara zao vichwani na mambo ya business records huwa ni issue ngumu kuwa na good proper records, watoe at a risk of strong commitments za mtaka mkopo
simaanishi business records au kuwa na financials namanisha kuwa na biashara inayotengeneza pesa.. real cash.. yaani mfano kama una duka lako kwa siku unauza laki tano na hiyo pesa inaonekana... hiyo ndo cash flow nnayoisemea mimi.. kwa maana hiyo hata ukichukua mkopo wa watu lazima utaweza kurejesha coz biashara yako ina uwezo wa kUtengeneza pesa.
 
Lakini zinapaswa kuwa regulated juu ya mfumo wao wa riba!, Kupanga riba kunatakiwa kuwa regulated na BOT, kwa nchi nzima na kukubaliana na matakwa haya kwa kampuni binafsi.
Hii System inatoka kwa mabeberu wenyewe, na wameshindwa kuzidhibiti hizi kwa kutumia sheria sababu ya uchumi huria... wanachofanya ni kutumia vyombo vya habari kuzichafau na kuwaamsha wananchi, lakini kisheria wameshindwa kuzidhibiti...
labda kwetu tunaweza kuingilia mfumo wa soko la kuzidhibiti..
 
unajua dhamana sio kigezo cha mtu kukopeshwa na benki? kwa sababu kinacholipa mkopo sio dhamana ni cash flow... ukitaka kukoposheka kirahisi na benki...
Hii kitu hata viongozi wa nchi hawana habari nayo .utasikia ukiwa na hati miliki utakopa bank as if ndo kigezo pekee binafsi nilishawahi kutinga bank na hati kama tatu ,mkikaa wanakwambia leta cash flow yako
 
simaanishi business records au kuwa na financials namanisha kuwa na biashara inayotengeneza pesa.. real cash.. yaani mfano kama una duka lako kwa siku unauza laki tano na hiyo pesa inaonekana... hiyo ndo cash flow nnayoisemea mimi.. kwa maana hiyo hata ukichukua mkopo wa watu lazima utaweza kurejesha coz biashara yako ina uwezo wa kUtengeneza pesa.
Faida bei gani!
 
View attachment 2302789
Katika hii picha ni mabox ya Gumment Cheese yaliyogaiwa na serikali za Magharibi kwa wananfunzi ili wapeleke nyumbani kwao.

Hii ilitokea baada ya WWII, hali ya uchumi ilikua ngumu sana. Pamoja na cheese pia wananchi wapigaiwa peanut butter, na nyama za makopo.

Misaada hii ililegwa kwa familia duni na watoto wao waligaiwa mashuleni.
Tanzania kuna TASAF.
 
Back
Top Bottom