Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Biashara zao vichwani maana yake ni kwamba mf. Mjomba wako anakwambia Michele hapa kilosa ni shs 1600 anakwambia njoo uchukue hata gunia 200, at the same time unajua kabisa dar ni 2000-2500, maana yake biashara nyingi za Watanzania ndivyo zilivyo mkuu TUJITEGEMEEsimaanishi business records au kuwa na financials namanisha kuwa na biashara inayotengeneza pesa.. real cash.. yaani mfano kama una duka lako kwa siku unauza laki tano na hiyo pesa inaonekana... hiyo ndo cash flow nnayoisemea mimi.. kwa maana hiyo hata ukichukua mkopo wa watu lazima utaweza kurejesha coz biashara yako ina uwezo wa kUtengeneza pesa.