Kagame pia alitoa chakula kwa kila familia wakati wa lock down. Kila familia ilipata maharage, mchele, sukari na mafuta ya kupikia.Nchi TajIRI HIZI NI MMABO ZA KAWAIDa kabisa.. JUZi TU HaPa KipiNDI cHa COvid CrisiS, nCHI ZA ULAYA NA AMERICA WALikUJA Na reLIEF PAckAGE KWA jILI YA KUSaiDIa LOWER INCOME FAMILIes ambapo naFIKIRI KWA america KIla famIly iliPATA CHEQUE YA USD 1,000... ni kawaida, hizi ki uchumi ni fiscal programmes
hata uganda walifanya hivo.. lakini kwa nchi masikini kama za kiafrika inakuwaga ni geresha tu maana serikali za kiafrika hazina muscles za kufanya hizi programmes.Kagame pia alitoa chakula kwa kila familia wakati wa lock down. Kila familia ilipata maharage, mchele, sukari na mafuta ya kupikia.
unajua dhamana sio kigezo cha mtu kukopeshwa na benki? kwa sababu kinacholipa mkopo sio dhamana ni cash flow... ukitaka kukoposheka kirahisi na benki.Kwa Tanzania warahisishe tu bank loan isiwe na milolongo ya urefu wa ajabu madhari mtu anadhamana apatiwe tu pesa within 48hrs,baada ya dhamana yake kuhakikiwa, na apatiwe robo ya quick market value ya dhamana.
Vimikopo kama hivyo sio kazi ya taasisi kubwa kama benki ...Kwa Tanzania warahisishe tu bank loan isiwe na milolongo ya urefu wa ajabu madhari mtu anadhamana apatiwe tu pesa within 48hrs,baada ya dhamana yake kuhakikiwa, na apatiwe robo ya quick market value ya dhamana.
Watanzania wengi wanabiashara zao vichwani na mambo ya business records huwa ni issue ngumu kuwa na good proper records, watoe at a risk of strong commitments za mtaka mkopounajua dhamana sio kigezo cha mtu kukopeshwa na benki? kwa sababu kinacholipa mkopo sio dhamana ni cash flow... ukitaka kukoposheka kirahisi na benki...
ndo akina papaa msofe walikuwa wanachukua nyumba za watu kwa style kama hii... mtu kama huna biashara ya kueleweka ambayo inaingiza pesa probability ya ku default ni kubwa sana.Vimikopo kama hivyo sio kazi ya taasisi kubwa kama benki ...
Muda si mrefu zitaiibuka kampuni za kukopesha kwa kutumia dhamana..
Zinaiitwa Pawn Brokers au Payday loan
Lakini hiyo riba yake ni ya kufa mtu......
Lakini zinapaswa kuwa regulated juu ya mfumo wao wa riba!, Kupanga riba kunatakiwa kuwa regulated na BOT, kwa nchi nzima na kukubaliana na matakwa haya kwa kampuni binafsi.Vimikopo kama hivyo sio kazi ya taasisi kubwa kama benki ...
Muda si mrefu zitaiibuka kampuni za kukopesha kwa kutumia dhamana..
Zinaiitwa Pawn Brokers au Payday loan
Lakini hiyo riba yake ni ya kufa mtu......
simaanishi business records au kuwa na financials namanisha kuwa na biashara inayotengeneza pesa.. real cash.. yaani mfano kama una duka lako kwa siku unauza laki tano na hiyo pesa inaonekana... hiyo ndo cash flow nnayoisemea mimi.. kwa maana hiyo hata ukichukua mkopo wa watu lazima utaweza kurejesha coz biashara yako ina uwezo wa kUtengeneza pesa.Watanzania wengi wanabiashara zao vichwani na mambo ya business records huwa ni issue ngumu kuwa na good proper records, watoe at a risk of strong commitments za mtaka mkopo
Sawasawa mkuu.ndo akina papaa msofe walikuwa wanachukua nyumba za watu kwa style kama hii... mtu kama huna biashara ya kueleweka ambayo inaingiza pesa probability...
ExactLy MKUU NAONA TUMESOMANASawasawa mkuu..
Kwa lugha fasaha ya kiingereza zinaitwa "Shark loan"
Lazima umezwe tu hakuna namna...
Hii System inatoka kwa mabeberu wenyewe, na wameshindwa kuzidhibiti hizi kwa kutumia sheria sababu ya uchumi huria... wanachofanya ni kutumia vyombo vya habari kuzichafau na kuwaamsha wananchi, lakini kisheria wameshindwa kuzidhibiti...Lakini zinapaswa kuwa regulated juu ya mfumo wao wa riba!, Kupanga riba kunatakiwa kuwa regulated na BOT, kwa nchi nzima na kukubaliana na matakwa haya kwa kampuni binafsi.
View attachment 2302789
Katika hii picha ni mabox ya Gumment Cheese yaliyogaiwa na serikali za Magharibi kwa wananfunzi ili wapeleke nyumbani kwao...
Hii kitu hata viongozi wa nchi hawana habari nayo .utasikia ukiwa na hati miliki utakopa bank as if ndo kigezo pekee binafsi nilishawahi kutinga bank na hati kama tatu ,mkikaa wanakwambia leta cash flow yakounajua dhamana sio kigezo cha mtu kukopeshwa na benki? kwa sababu kinacholipa mkopo sio dhamana ni cash flow... ukitaka kukoposheka kirahisi na benki...
Faida bei gani!simaanishi business records au kuwa na financials namanisha kuwa na biashara inayotengeneza pesa.. real cash.. yaani mfano kama una duka lako kwa siku unauza laki tano na hiyo pesa inaonekana... hiyo ndo cash flow nnayoisemea mimi.. kwa maana hiyo hata ukichukua mkopo wa watu lazima utaweza kurejesha coz biashara yako ina uwezo wa kUtengeneza pesa.
Tanzania kuna TASAF.View attachment 2302789
Katika hii picha ni mabox ya Gumment Cheese yaliyogaiwa na serikali za Magharibi kwa wananfunzi ili wapeleke nyumbani kwao.
Hii ilitokea baada ya WWII, hali ya uchumi ilikua ngumu sana. Pamoja na cheese pia wananchi wapigaiwa peanut butter, na nyama za makopo.
Misaada hii ililegwa kwa familia duni na watoto wao waligaiwa mashuleni.
Kagame pia alitoa chakula kwa kila familia wakati wa lock down. Kila familia ilipata maharage, mchele, sukari na mafuta ya kupikia.
Ndiyo.Anaiba kwa jirani ili alishe familia.Kagame yupi?? Ni yule mvamizi wa congo??