simaanishi business records au kuwa na financials namanisha kuwa na biashara inayotengeneza pesa.. real cash.. yaani mfano kama una duka lako kwa siku unauza laki tano na hiyo pesa inaonekana... hiyo ndo cash flow nnayoisemea mimi.. kwa maana hiyo hata ukichukua mkopo wa watu lazima utaweza kurejesha coz biashara yako ina uwezo wa kUtengeneza pesa.